betty marandu
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 1,163
- 722
Thithiem wote mlikuwa nao ila kwenye hili wengine wamerudi nyuma umebaki jinga na BarbarosaKwani tulikuwa nani na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thithiem wote mlikuwa nao ila kwenye hili wengine wamerudi nyuma umebaki jinga na BarbarosaKwani tulikuwa nani na nani?
Kama vile naona majibu hatuna kama chama ila wanaoikomalia majibu yake wanayo ndio maana inakuwa ngumu kutoa majibu kwani tunaweza kuumbuka zaidi.Naona utetezi wao utakua hivi 1.5t zilinunua vile vichwa vya treni vilivyo kutwa bandarini nafikiri kwenye hesabu tulisahau kujumuisha
Kazi yako ni kuangalia CCM wamepost nini?Thithiem wote mlikuwa nao ila kwenye hili wengine wamerudi nyuma umebaki jinga na Barbarosa
Read a full report of CAG...Usisubiri kuhadithiwa...ukiisoma unaweza hata kusema Serikali imeiba trilioni zaidi ya hizo ...ha ha ha...ila ujiulize pia muhamala wa 1.5 trillioni ulipitia benk gani?au kwa sasa uko kwenye account ya nani?Tuambie hizo hela ziliko tunyamaze suala si kujua tu.Wala hatunaga ubaya na kipenzi chako
Mleta mada u-ccm unamsumbuaMleta mada ni mpumbavu na lofa kabsa
Fisadi mkuu yupo Chadema ...na ufisadi wake ulithibitishwa na Bunge