Kumsingizia Rais Magufuli ufisadi haiwezi kumzuia kupambana na mafisadi

Kumsingizia Rais Magufuli ufisadi haiwezi kumzuia kupambana na mafisadi

Naona utetezi wao utakua hivi 1.5t zilinunua vile vichwa vya treni vilivyo kutwa bandarini nafikiri kwenye hesabu tulisahau kujumuisha
 
Naona utetezi wao utakua hivi 1.5t zilinunua vile vichwa vya treni vilivyo kutwa bandarini nafikiri kwenye hesabu tulisahau kujumuisha
Kama vile naona majibu hatuna kama chama ila wanaoikomalia majibu yake wanayo ndio maana inakuwa ngumu kutoa majibu kwani tunaweza kuumbuka zaidi.
 
Ma bush -CAGs a.k.a Ma CAG wa kitaa wanaumbuka sasa
 
Thithiem wote mlikuwa nao ila kwenye hili wengine wamerudi nyuma umebaki jinga na Barbarosa
Kazi yako ni kuangalia CCM wamepost nini?
Hebu watag hao wanaCCM unaohisi wamerudi nyuma....msipende kuishi kama fisi mkisubiri mikono ianguke.
 
Tuambie hizo hela ziliko tunyamaze suala si kujua tu.Wala hatunaga ubaya na kipenzi chako
Read a full report of CAG...Usisubiri kuhadithiwa...ukiisoma unaweza hata kusema Serikali imeiba trilioni zaidi ya hizo ...ha ha ha...ila ujiulize pia muhamala wa 1.5 trillioni ulipitia benk gani?au kwa sasa uko kwenye account ya nani?
 
Hata wizi wa awamau iliyopita mlikuwa mnakataa ila mwisho wa siku mkabaki kinya baada ya waliopiga pesa kuanza kuzirudisha na wengine kulalamika kuwa ni pesa za mboga maana kuna waliochota zaidi.

Wizi jadi yenu.
 
GO ON MAGUFULI WANYOOSHE WANYOOKE VILIVYO
 
Jembe endelea kunyoosha huu mtandao wa mafisadi hadi uisome namba
 
Jembe endelea kunyoosha huu mtandao wa mafisadi hadi uisome namba
 
Kama ambavyo huwasimamisha viongozi na watumishi wa umma kujibu hoja au tuhuma kenye mikutano ya hadhara, yeye pia anatakiwa kujibu tuhuma hata kama amefanya mazuri haina mantiki akifanya baya hapaswi kuwajibika!
 
Back
Top Bottom