Kumsingizia Rais Magufuli ufisadi haiwezi kumzuia kupambana na mafisadi

Kumsingizia Rais Magufuli ufisadi haiwezi kumzuia kupambana na mafisadi

Tutayajua mengi akitoka madarakani au vinginevyo hili tu tulia usiweweseke mtoa mada
 
Mpaka sasa ni zaidi ya miaka miwili akiwa madarakani, tuambie kapambana na mafisadi wangapi? Ile mahakama yetu ya mafisadi imefunga wangapi?

Acheni umbumbumbu.
Huwajui mafisadi wanaoomba kutibiwa nje ya nchi?
 
Mku si tumeasisi mahakama ya mafisadi kama tuhuma tuliyotuhumiwa nayo ni nani tunampeka ktk hii mahakama kwa liko ndani ya chama.
Kumbuka hii ni tuhuma ambayo sio ya kupepesa macho kwani halisia kwa hiyo ni tofauti na tuhuma zisizo halisia kama hii
iko siku vibaraka wa mafisadi wataunganishwa kwenye kesi
 
Hili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.

Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.

By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.

Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.
Poor argument from hopeless mind. Hapa siyo suala la kusema kama ni mwizi au siyo mwizi, kinachotakiwa kujibiwa ni TZS 1.5 trillion zimeenda wapi? Maneno mengine yote hayana maana.

Tusilinde uovu kwa kuegemea kwenye maneno ya 'uzalendo'. Mtu safi athibitishwe kwa matendo. Wote tunapenda tuamini kuwa serikali ni safi lakini kama hatutapata maelezo sawia ya wapi zimekwenda 1.5 trillion, tutapaza sauti na kusema kuwa serikali hii ni ya kifasadi kwa kiwango ambacho hakijawahi kutokea. Na itakuwa ni kauli sahihi kabisa.
 
Umemsikiliza PolePole?Je ukimuuliza Assad anaeeza kusema 1.5 trilioni zilichukuliwa na mtu au taasisi flani?usiwe mdaku!
 
Hizi 1.5 T zitawawewesesha zana
Hili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.

Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.

By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.

Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.
 
Anasingiziwaje wakati yeye ndio anakaa na fuko la hela zetu,
Halafu hapo hapo 1.5 t haionekani? vita yake ya ufisadi haina maana wakati na yeye ni fisadi papa,
Amfute kazi CAG ili pasiwepo ukaguzi kabisa...ama amuongezee majukumu ya ukaguzi wa hela za serikali bwana Pole pole!
 
Umemsikiliza PolePole?Je ukimuuliza Assad anaeeza kusema 1.5 trilioni zilichukuliwa na mtu au taasisi flani?usiwe mdaku!
Taarifa ya CAG inasema haiijulikani ziliko. Anayetakiwa kutueleza zilikopelekwa ni nani? Tunamwuliza tuliyemwajiri kutunza fedha yetu. JPM atueleze amepeleka wapi pesa yetu 1.5 trillion?
 
Hivi bro hamuoni Kama hii ishu ya kusingizia kila kinachosemwa kinasemwa na mafisadi Ni kama imechuja Sasa? Mbona imekuwa Kama mnakremishwa Cha kutetea.

Inakuwaje ishu inaibuliwa na CAG (mtu wenu wenyewe aliye kwenye serekali yenu wenyewe) alafu mnajitetea kwa kusema habari za wafisadi sijui. Mbona Ni utetezi wa kitoto ambao hauungani na shutuma?

Kuna namna mbili tu hapo CCM wenzangu, eiza tupambane kusema CAG Ni muongo hakuna kilichopotea au tutafute maeneo ya hii hela ilipotumika Basi! Hakuna maelezo mengine yanaweza tolewa hapa
 
Hili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.

Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.

By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.

Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.
Haiwezekani 1.5 trilion haijulikani ilipoenda alafu wewe unasema kwamba itapita tu narudia tena 1.5 trilion hivi kweli utakuwa sawa sawa.
 
iko siku vibaraka wa mafisadi wataunganishwa kwenye kesi
Mku muda si ndio huu kwani tukisema iko siku wakati watuhumiwa tunawaona wako mitaani kwa ujumla hiyo siku aipo mku tuseme yale yalikuwa maneno ya kisiasa tuu
 
Kama Chadema wamepiga pesa wanachadema watadai chao vivo hivo kwa ccm.

Ila 1.5Trilioni hii ni ya watanzania wote wenye vyama na wasio na vyama na lazima tudai.
Aisee mwambieni anko jambazi we need our money
Exactly mkuu huo uchadema na uccm wao uishie hukohuko kwenye korido zao wasilete kwenye mambo ya kitaifa
 
SHILINGI TRILIN 1.5 ZA KITANZANIA

1. Kama una kasi ya kuhesabu shilingi milioni moja kwa dakika moja. Maana yake Shilingi trilioni 1.5 utazihesabu kwa dakika 1,500,000, sawa na masaa 25,000, sawa na siku 1042, sawa na miaka 2 na miezi kumi.

2. Noti moja ya Tsh. 10000 in urefu wa Sentimita 15 na upana wa Sentimita 7.5. Ukitafuta eneo la mstatili wake ni sawa na Sentimita za eneo (mraba) 112.5 au (112Cm²).

Idadi ya noti za elfu 10 kwenye Tsh. Trilioni 1.5 ni noti 150,000,000. Ukizidisha na ile 112.5 ni sawa na eneo la Sentimita za mraba 16,875,000,000 au Mita za mraba 1,687,500. (1,687,500m²)

Uwanja mmoja wa mpira wa miguu wenye urefu wa mita 100 na upana wa mita 75 una eneo la 7500m²

Chukua (1,687,500 ÷ 7500) = 225

Maana yake, Tsh. Trilioni 1.5 unaweza kuzipanga zikafunika eneo sawa na viwanja 225 vya mpira wa miguu.

3. Kwa urefu wa Sentimita 15, kwa idadi ya hizo noti 150,000,000 ni sawa na umbali wa sentimita 2,250,000,000 sawa na kilometa 22,500.

Jumla ya umbali wa mipaka yote ya Tanzania bara pamoja na ufukwe wa bahari kutoka Tanga hadi Mtwara ni Km 4826.

Kwa hiyo ukizipanga kwa urefu pesa hizi, zinaweza kufanya mizunguko minne katika mipaka yote ya Tanzania bara (Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC, Zambia, Malawi, Msumbiji na ufukwe wa bahari ya hindi kutoka Tanga hadi Mtwara) na bado zitabaki za kutosha umbali wa Km 3196.

Hizo zinazobaki unaweza kuzipanga mistari miwili kutoka ncha ya mbali kabisa ya kaskazini hadi ncha ya mbali ya kusini mwa Tanzania bara (Km 1223 X 2 = Km2446) Na bado zitabaki za Km 750. Ambazo zitapangika kutoka DSM had Tanga mara tatu na kubaki za Km 162. Hizo baki nazo mwenyewe.

4. Ikiwa Noti moja ya elfu 10 ina uzito wa gram 1, maana yake kwenye Trilioni 1.5 (noti milioni 150) zina uzito wa gram milioni 150 (150,000,000gm) au kilogram 150,000 sawa na uzito wa tani 150. Reli ya Standard Gauge inayojengwa inaweza kuhimili mzigo wa uzito wa Tani 35.

5. Zinatosha kujenga kilometa 500 za Reli ya STG kwa viwango vya ubora na gharama za sasa (kwa mfano wa hii iliyoanza kujengwa)

6. Ukipewa pesa hiyo na kuamua kutumia Tsh. Mil 10 kila siku. Zitaisha baada ya miaka 41.

[(1.5x10¹²) ÷ (10x10e8)]/365¼ = 41

7. Zinatosha kugawa TSh. 200 kwa kila Binadamu duniani, TSh 1000 kwa kila Mchina na TSh. 30,000 kwa kila Mtanzania.

8. Ukiweza kuzigawa pesa hizo 'kipedejee' kwa kuwarushia watu noti moja moja kila baada ya sekunde moja, bila kupumzika, itakubidi utumie miaka minne na miezi 9 ili ugawe zote.

9. Tsh. Trilioni 1.5 ni utajiri karibu sawa na utajiri wa Bilionea Mohammed Dewji. Ni zaidi ya fedha zilizotumika kwenye uwekezaji wa kiwanda cha Cement cha Dangote (1.3trilion). Ni nusu ya Utajiri wa Rais wa Marekani, Bilionea Donald Trump.

10. Pesa hiyo ni mara 25 ya pesa waliotumia Marekani katika kushambulia miji ya Homs na Damascus nchini Syria tarehe 14 Aprili 2018. Marekani walitumia Nyambizi inayotumia umeme wa nyuklia, ndege ya kijeshi aina ya B-1 bomber na meli moja ya kivita huku bajeti ikiwa dola Mil 26, sawa na Tshs bilion 60. Wamarekani wameandamana nchini kwao kupinga matumizi mabaya a ya kodi zao. Kwa hizi pesa zetu zisizoonekana wangeweza kufanya mashambulizi mengine 24 kama hayo.
 
Back
Top Bottom