Kumsingizia Rais Magufuli ufisadi haiwezi kumzuia kupambana na mafisadi

Naskia mahakama ya mafisadi haijawai sikiliza hata kesi moja naomba hii iwe ya kwanza na anko magu apigwe tu kitanzi maana ni ze best fisadi ever.
 
Uko sahihi Mkuu. By the way sasa hiviwameamua kusemea 1.5 trillion kwa sababu mbowe kapiga 24 bln kwa miaka miwili na wanaongea sana ili kuficha uovu huu. Zitto kala hela ya chama hadi kakimbia kupeleka ripoti ya mahesabu kwa CAG. Na pia kashirikiana na halmashauri yake kupiga hela hadi wamepata hati chafu. Na yeye anajificha kwenye 1.5 ili asionekane. Kuna mambulula amewapata ila kwa sisi werevu hamtupati ng'oooo. Hakuna wanasiasa Tanzania ila kuna waendesha Saccos tu na wapiga dili.
Ushahidi si unao? nenda kisutu Zitto Afungwe
 
Hili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.

Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.

By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.

Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.
Kaka kuna msemo unasema "kikulacho kinguoni mwako" ni ujinga kumtafuta mjusi kwa jirani huku ukiliacha joka likivinjali chini ya uvungu wa kitanda chako. Ni vigumu kumsafisha Magu kwa sasa hata utumie dodoki tayari keshachafuka na hana uwezo wa kutamka yy ni mzalendo wakati kakwapua 1.5 trilioni. Kumbuka fedha hizo hata baba yako ni mmiliki sio zetu pekee unaotuona sie wajinga la msingi mshauri atafute tundu la kuzitolea huu ndiyo utaratibu alioutangaza kwa watakaoiba fedha za umma
 
Hili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.

Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.

By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.

Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.
Si mseme tu mmezipeleka wapi? Mbona rahisi
 
Hili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.

Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.

By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.

Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.
bila shaka 1.5 trillion zilizopotea zitakuwa zimepigwa na lowassa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahaa bondia anaweza akaandaa pambano mwenyewe?akapanda ulingoni mwenyewe? na kujipiga mwenyewe?na kisha kujivalisha mkanda wa ushindi mwenyewe?.
 
Hili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.

Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.

By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.

Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.
Kwani ufisadi ni nini na fisadi ni nani?
 
Sijui kwa nini waTz hawana kumbukumbu wakati ripoti ya ukaguzi wa bajeti 2014/15 CAG alibaini wizi wa mabilioni ya shilingi kwenye wizara ya ujenzi aliyokuwa akiiongoza na ilizuiliwa kujadiliwa kwa kuwa aliteuliwa mgombea urais. Jingalao kama ninalosema ni uongo kanusha niweke ripoti ubaoni
 
Nilishasema tu ukimuona mtu anaongea sana ujue huyu ni wale wale, Sasa amechimba shimo anadumbukia mwenyewe
 
Magu is a corrupt fella it was just a matter of time...
"Mambo hadharani" - Msondo Ngoma
 
Sihitaji kuingia kwa kina ,ila vikwazo hivi kwa Reis vinajengwa ili alegee, tafadhari Mkuu, usilegee ila panga mambo makuu ili usogeze watz mbele.
 
Kama 1.5trilion hazina Maelezo , basi Tanzania hakujawahi kuwa na fisadi. Ukiangalia kashifa nyingi zilikuwa kuongeza cha juu tu.
 
Sihitaji kuingia kwa kina ,ila vikwazo hivi kwa Reis vinajengwa ili alegee, tafadhari Mkuu, usilegee ila panga mambo makuu ili usogeze watz mbele.
Unaona sasa hawa hao watu awasogeze wapi wakati keshawalambia 1.5 trilion
 
Sijui kwa nini waTz hawana kumbukumbu wakati ripoti ya ukaguzi wa bajeti 2014/15 CAG alibaini wizi wa mabilioni ya shilingi kwenye wizara ya ujenzi aliyokuwa akiiongoza na ilizuiliwa kujadiliwa kwa kuwa aliteuliwa mgombea urais. Jingalao kama ninalosema ni uongo kanusha niweke ripoti ubaoni
Kiongozi hebu weka tuone trend ya wizi wake...
 
Back
Top Bottom