Kumsingizia Rais Magufuli ufisadi haiwezi kumzuia kupambana na mafisadi

Kumsingizia Rais Magufuli ufisadi haiwezi kumzuia kupambana na mafisadi

Kaka uso umeumbwa na haya ... Mnae msifu, kumtukuza na kumuamini tayari kawaangusha ...

Hilo halina shaka ndani yake mmeliona, na mmethibitishiwa bila chenga na yeye mwnyewe aliendika report ...

Bahati mbaya mnaogopa kuona aibu ... Sio kesi mgeukeni tu msimuonee aibu kawaangusha ...

Ha ha ha ha ha haaaa 1.5 trln alooo!!!!
 
Hili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.

Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.

By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.

Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.
Kunawatu wengine humu nadhani wanafikiri kwa kutumia kiungo kingine ambacho sirasmi kukitumia kufikiri kwahiyo CAG ambae amefanya kazi yake kisheria ambae mawazirr wamesema hawapingani nayeye wanaunga mkono mapendekezo yake wewe unasema nikumsingizia raisi wapi katajwa raisi kati ya waliopoteza 1.5 tirioni nawanaodai zionekane ziliko nanifisadi hizi akili zakijinga kweli tunaomba kama kunamtu mwenyeuwezo wakusema ukweli kuliko mkaguzi atueleze ukweli kulikohuo alioutoa mkaguzi
 
How can you lost 1.5 trillion on stupidity without proper planning, proper budget and proper everything

Trust me I’m businessman but I won’t throw money even if I’m promised a country for exchange, always will think through, crunching the numbers and come up with sensible thoughts and plan.

The man throw the money our money to be precise, everywhere like drops of rain!

Kuvunja mikataba ovyo ni yeye, which cost us huge time.

Nunua midege bila ya proper business model ni yeye, anatutia hasara

Vunja vunja ya nyumba za watu without consideratation of even stop order from the court entrusted with the rule of law, that’s pure thuggish


Nk nk..

Acha uhuni Jinga. Fisadi with capital F...
 
Hili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.

Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.

By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.

Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.
Inamaana CAG NI CHADEMA
?
 
kusikia husikii hata kusoma pia... yaani hesabu za kujumlisha tu na kutoa zina kushinda. Dooh kweli we still have a long way to go
 
Umemsikiliza PolePole?Je ukimuuliza Assad anaeeza kusema 1.5 trilioni zilichukuliwa na mtu au taasisi flani?usiwe mdaku!
sasa ulitaka polepole angee nini zaidi ya kilr? hoj ya zzk haijajibiwa wewe
 
Pamoja na upupu tunaojadili muda huu tuangalie pia taarifa ya ukaguzi wa CAG ya mwaka 2014/15 ambapo pamoja na ufisadi mwingine pia ndani yake kuna "mzinga wa jeshi" tuliotishwa tusiujadili ambao upo Uk. 190
 

Attachments

kesho rais mwingine akija kutawala na akisema ziliibwa kweli utawala wa magu mtapiga makofi na kumshangilia. au mmesahau za escrow??

nyie tunawajua sana sana sana hata hamtusumbui
 
kwa kuanzia mkamateni CAG kwa kusema uwongo...na kulipotosha taifa.!!

Mkifanya hivyo...vizabina zabina kama Zitto na Kafulila hapo watakosa LA kudanganya?
Ingekuwa ni uongo wangekuwa tayari wako ndani siku hio hio,kimya maana yake limewakuta.Ndo madhara ya kupika data ili ionenake makusanyo yanapaa.
 
Mleta mada natambua unafanya haya ili walau mkono uende kinywani na watoto wapishane maliwatoni kwa mtiririko unaofaa,pambana,buku saba kwa siku sio ndogo usawa huu.
Mkuu njaa ni hatari sana
 
Back
Top Bottom