Ni kama Tanzania vs Algeria.... mnahangaika kuwakaba akina Riyad Mahrez na Islam Slimani wasiwafunge halafu magoli mnajifunga ninyi wenyewe kupitia wachezaji wenu akina Kapombe..... bora muianzed kukabana wenyewe msijifunge kabla hamjawakaba wapinzani
Hawa mafisadi mnaosema anapambana nao miaka yote wapokwenye chama chake na mpaka leo ccm inawanachama mafisadi kamna prof. muhongo, Tibaijuka, andrew chenge, willium ngeleja na wenguine wengi...... kaba kwanza hawa walio kwenye timu yako wanaojifunga kabla hujakaba wapinzani