mogulnoise
JF-Expert Member
- Oct 28, 2014
- 2,435
- 5,541
Hawajui hao ccm iliuza nyumba za taifa wakasema ufisadi ikanunua kivuko cha bagamoyo wakakamata meli ya samaki wakasema hivyo hivyo sasa wameanza na 1.5tirion yaani kila kitu wanalalamikaKwani CCM imeanza kulalamikiwa leo?