mbongowakweli
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 848
- 684
Ila 1.5trl nyingi mno, ebu waseme tu, kukosea namba kwa hela hiyo ni hapana, wajibu imeenda wapi?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujielewii wew... Sasa hela za chadema zinakuhusua nin wew kuliko hela za taifa???Mimi chama changu ufipa damu damu. Ninampongeza Mbowe kutafuna billioni saba mbele ya macho yangu. Hayo ya trilioni 1.5 mtajuana wenyewe huko.
Aaaah muda huu una uhakika wa kesho watoto kupishana kwenda maliwatoni! tayar ushalamba chako kwa BASHITE ila muda mfupi ujao watazinya fedha zetuKamanda mbona unaweweseka, umeshajitayarisha kwa maandamano ya da'Mange?
Ufisadi wa 1.5 trillion pia umesomwa bungeni na CAGFisadi mkuu yupo Chadema ...na ufisadi wake ulithibitishwa na Bunge
haa haaa mkuu makarai yako mengi. mengine yanatetea wizi ulofanyika lumumba kwa kukopesha wanachama feki. wengine wanatetea mkopo feki uliokopeshwa ufipa. mbaya zaidi wengine wanatetea mpunga uliochotwa na mtetezi wa wanyonge kule feri 1.5 trilioni. mbaya zaidi haya makarai hayalambi hata senti moja. nimeamini wajinga ndo waliwao.Makarai yoote tumekusanyika hapa ufipa leo kumpongeza Mbowe kutia kibindoni bilioni sabaa. Tunajaribu kuangaza macho kwingine. Duh.
Siyo kulakamikiwa tu,ni wezi wakubwa.Kwani CCM imeanza kulalamikiwa leo?
Hili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.
Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.
By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.
Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.
Uko sahihi Mkuu. By the way sasa hiviwameamua kusemea 1.5 trillion kwa sababu mbowe kapiga 24 bln kwa miaka miwili na wanaongea sana ili kuficha uovu huu. Zitto kala hela ya chama hadi kakimbia kupeleka ripoti ya mahesabu kwa CAG. Na pia kashirikiana na halmashauri yake kupiga hela hadi wamepata hati chafu. Na yeye anajificha kwenye 1.5 ili asionekane. Kuna mambulula amewapata ila kwa sisi werevu hamtupati ng'oooo. Hakuna wanasiasa Tanzania ila kuna waendesha Saccos tu na wapiga dili.
Ndio maana ukaitwa jinga lao haya wahi 7000Hili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.
Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.
By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.
Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.