Kumsingizia Rais Magufuli ufisadi haiwezi kumzuia kupambana na mafisadi

Kumsingizia Rais Magufuli ufisadi haiwezi kumzuia kupambana na mafisadi

Hili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.

Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.

By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.

Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.
fisadi ni fisadi tu hata kama zitapita dahh Maguuuu katupiga trln 1.5 yaani yeye kafidia zile za awamu zilizopita mara tano kwa muda mfupi
 
Mzee ni fisadi hadi kwenye kipara!
CAG kawaambia wabunge ni kazi yao sasa kuhoji serikali, naona bunge lenu bovu limeshindwa kazi linakimbila kuanzisha nyuzi za propaganda JF!
 
Mzee ni fisadi hadi kwenye kipara!
CAG kawaambia wabunge ni kazi yao sasa kuhoji serikali, naona bunge lenu bovu limeshindwa kazi linakimbila kuanzisha nyuzi za propaganda JF!
CAG alitoa maelekezo gani kwenye huo upotevu wa trilioni 1.5?Kwa nini Zitto haongelei hilo?
Kwa nini Zitto haongelei halmashauri ya Kigoma ujiji kushindwa kukusanya mapato kwa asilimia zaidi ya 68?
 
CAG alitoa maelekezo gani kwenye huo upotevu wa trilioni 1.5?Kwa nini Zitto haongelei hilo?
Kwa nini Zitto haongelei halmashauri ya Kigoma ujiji kushindwa kukusanya mapato kwa asilimia zaidi ya 68?
Kelele zote hizi za Zitto ni kuzima ya halmashauri ya Kigoma. Anajifanya haoni kabisa.
 
Ngoja chuma kije kumwaga cheche utawaona watakavyofyata mikia na kuanza kuongea aliyoyasema watasahau hizo trilioni kwa kuumbuka na uongo wao.
Ameshindwa kumwaga cheche kwenye siku 21 alizopewa na CAG yeye na wezi wenzie halafu Unatamani aje Akudanganye nini ??

Hv unategemea mwizi kujihukumu?? Acha ushamba ..sisi kama wananchi Watupaswi kumuogopa Anaetuibia .. Kisa anajua Kufoka ... Amfokee mke wake huko hapa Atueleze 1.5tr ziko wapi?
Kwanza amedharau Bunge kwa Kiburi tu .... Muogopeni nyie wehu huko ndani ya chama chenu lakini Sisi Lambda atuue atumalize wote.
 
CAG alitoa maelekezo gani kwenye huo upotevu wa trilioni 1.5?Kwa nini Zitto haongelei hilo?
Kwa nini Zitto haongelei halmashauri ya Kigoma ujiji kushindwa kukusanya mapato kwa asilimia zaidi ya 68?

Jamani CAG katamka wazi wazi kuwa wabunge wahoji serikali, Zitto ni Mbunge!
Kwa hiyo mnataka wabunge waeende kuhoji mapato na matumizi ya Halmashauri zao waachane na hoja za CAG?

Ushabiki wa hovyo kabisa huu!
 
Hivi Mtu mwenye mamlaka makubwa anasingiziwa vipi na mtu aliyemteua naona kama hii hoja yetu ina ukakasi kwa jambo fikirishi kama hili
 
If you can not dazzle them with brilliance buffle them with bullshit.Zitto anajua watanzania walivyo wafuata mkumbo kama wanaimbishwa kwaya.
Toka 2005 wimbo ulikuwa ni kuibiwa ila 2015 tukaacha kuibiwa kwa kuwa mwizi alihamia kwetu na kuamua kuwa ndugu yetu.
Kama Zitto anamaanisha kweli tumeibiwa trillioni tano basi anajua pa kupeleka kesi.
Hakuna hoja ya msingi ya kutetea ufisadi wa 1.5trln.Eti eeeh kila kitu nilikuta hewa hvyo naye ameamua kutengeneza matumizi hewa ya kupiga mpunga wote huo?Jamaa hana huruma kabisa huyu,ingekua china angepigwa mashine hadharani
 
Hili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.

Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.

By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.

Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.

Nilidhani utatuwekea japo list ya hao mafisadi waliofikisha katika ile mahakama yetu mpya.
.
.
Hilo jina lako mkuuu mmmmh
 
Hivi Mtu mwenye mamlaka makubwa anasingiziwa vipi na mtu aliyemteua naona kama hii hoja yetu ina ukakasi kwa jambo fikirishi kama hili
Anayelazimishia ufisadi humjui?
 
Back
Top Bottom