900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
fisadi ni fisadi tu hata kama zitapita dahh Maguuuu katupiga trln 1.5 yaani yeye kafidia zile za awamu zilizopita mara tano kwa muda mfupiHili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.
Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.
By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.
Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.
CAG alitoa maelekezo gani kwenye huo upotevu wa trilioni 1.5?Kwa nini Zitto haongelei hilo?Mzee ni fisadi hadi kwenye kipara!
CAG kawaambia wabunge ni kazi yao sasa kuhoji serikali, naona bunge lenu bovu limeshindwa kazi linakimbila kuanzisha nyuzi za propaganda JF!
Tayari umeshasahau maandamano ya da'Mange, ha ha ha.Trilioni 1.5 kaiba nani? Mtaje huyo fisadi asiyefuata taratibu matumizi ya fedha za umma.
Kelele zote hizi za Zitto ni kuzima ya halmashauri ya Kigoma. Anajifanya haoni kabisa.CAG alitoa maelekezo gani kwenye huo upotevu wa trilioni 1.5?Kwa nini Zitto haongelei hilo?
Kwa nini Zitto haongelei halmashauri ya Kigoma ujiji kushindwa kukusanya mapato kwa asilimia zaidi ya 68?
Ameshindwa kumwaga cheche kwenye siku 21 alizopewa na CAG yeye na wezi wenzie halafu Unatamani aje Akudanganye nini ??Ngoja chuma kije kumwaga cheche utawaona watakavyofyata mikia na kuanza kuongea aliyoyasema watasahau hizo trilioni kwa kuumbuka na uongo wao.
CAG alitoa maelekezo gani kwenye huo upotevu wa trilioni 1.5?Kwa nini Zitto haongelei hilo?
Kwa nini Zitto haongelei halmashauri ya Kigoma ujiji kushindwa kukusanya mapato kwa asilimia zaidi ya 68?
Kama makamanda wanavyohaha kumkinga Mbowe na ripoti ya CAG. Yaani hadi wameweka maandamano ya da'Mange pembeni, ha ha ha.Mwizi hua ndio mpiga kelele wa kwanza na kulalamika
Kuwa tofauti haimaanishi upo sahihiSijawwhi kukaa upande wa wadaku ....toka nimeingia JF na haitatokea nikakaa upande huo.ndio maana hoja zangu na msimamo wangu unakuwa tofauti sana....
kodi za jasho la watanzania la bilioni elfu 1 na mia tano mnaita siasa nyepesi kabisawanakuja na siasa nyepesi kabisa!
Hakuna hoja ya msingi ya kutetea ufisadi wa 1.5trln.Eti eeeh kila kitu nilikuta hewa hvyo naye ameamua kutengeneza matumizi hewa ya kupiga mpunga wote huo?Jamaa hana huruma kabisa huyu,ingekua china angepigwa mashine hadharaniIf you can not dazzle them with brilliance buffle them with bullshit.Zitto anajua watanzania walivyo wafuata mkumbo kama wanaimbishwa kwaya.
Toka 2005 wimbo ulikuwa ni kuibiwa ila 2015 tukaacha kuibiwa kwa kuwa mwizi alihamia kwetu na kuamua kuwa ndugu yetu.
Kama Zitto anamaanisha kweli tumeibiwa trillioni tano basi anajua pa kupeleka kesi.
Hili ni somo na tamko kwa vibaraka wa mafisadi waliozoea kuwazushia viongozi wa Serikali kuwa ni mafisadi ili wapate hela na kukaa kimya.
Style hii ya kihuni ni lazima ikomeshwe na wahusika wanyooshwe.
By the way mafisadi hawawezi kuiba tena na anayebisha ajaribu.
Hizi mbwembwe za kujidai kuna ufusadi wa trilioni 1.5 zitapita na mafisadi wataendelea kunyooshwa vilivyo.
Kwenye hili pombe haisafishiki.Ila jamaa hana aibu aisee pmj na kutunzwa vzr bado anawaibia watanzania wanyonge?kodi za jasho la watanzania la bilioni elfu 1 na mia tano mnaita siasa nyepesi kabisa
mko vizuri