Kumtambua Samia kwamba ni rais ni kuunga mkono mauaji ya halaiki Oktoba 29+

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,483
Reaction score
40,130
Familia ya wanamtandao wamejazana JF kuanzisha mijadala inayohanikiza kuwa tuna serikali.

Tanzania leo inaongozwa na kundi la wahaini waliobaka Katiba, walioharibu mifumo ya demokrasia na hatimaye kuua bila huruma Watanzania 10,000 ili waendelee kutawala.

Yeyote anayemtambua Samia kama rais ni sehemu ya wauaji wa raia ili kumsapoti malikia wa mauti madarakani.
 
Tanzania tuna RAIS anaitwa Dr. SAMIA SULUHU HASSANI(hons)
 
Familia ya wanamtandao wamejazana JF kuanzisha mijadala inayohanikiza kuwa tuna serikali.

Tanzania leo inaongozwa na kundi la wahaini waliobaka Katiba, walioharibu mifumo ya demokrasia na hatimaye kuua bila huruma Watanzania 10,000 ili waendelee kutawala.

Yeyote anayemtambua Samia kama rais ni sehemu ya wauaji wa raia ili kumsapoti malikia wa mauti madarakani.
Wewe na wenzio wachache msipomtambua tupo wengine zaidi ya milioni 30 tunamtambua hakuna kinachoharibika.

Mlitaka muachiwe muichome moto nchi ambayo imetengenezwa kwa jasho na damu!. Yaani mfanye ujinga wa kila aina halafu mwishoni eti mtandikiwe zulia jekundu!.

Uhaini mliufanya nyinyi mlioleta siasa za kihuni mkakutana na wahuni wenye kuujua uhuni kwa kina.
 
Kinachowahangaisha sana hawa watu waovu ni kupata hiyo 'legitimacy' ya wao kuwa ni viongozi halali waliopo madarakani kihalali.
Hili ndilo linlowahangaisha sana.
Wamefanya kila juhudi za kuwatia hofu waTanzania, na kutaka wanyamaze ili mambo yao yaendelee wanavyotaka wao, lakini haionyeshi kuwa na mafanikio

Sasa hivi wanatawala kwa hofu kubwa, kwa sababu kila siku hawajui nini kitatokea miongoni mwao.

Watakapoanza kupukutika mmoja baada ya mwingine, hapo ndipo watakapotambuwa kuwa walifanya makosa makubwa sana kuwadharau waTanzania.
 
Wewe na wenzio wachache msipomtambua tupo wengine zaidi ya milioni 30 tunamtambua hakuna kinachoharibika.

Mlitaka muachiwe muichome moto nchi ambayo imetengenezwa kwa jasho na damu!. Yaani mfanye ujinga wa kila aina halafu mwishoni eti mtandikiwe zulia jekundu!.

Uhaini mliufanya nyinyi mlioleta siasa za kihuni mkakutana na wahuni wenye kuujua uhuni kwa kina.
Samia na watu kama wewe, mnaodhani nyinyi mtawalazimisha waTanzania wawakubali sasa mmeanza kutambua kuwa ulaghai haulipi.
WaTanzania wamewakataa; sasa mnalazimisha kutawala kwa nguvu kwa mitutu ya bunduki. Lakini mnajuwa pia kwamba mitutu hiyo hiyo nyie wenyewe hamna kinga nayo. Kwa hiyo mnaishi kwa kubahatisha tu sasa.
Mtu kama Hamza Johari, ataachwa vipi katika ushiriki huu wa kuwaumiza waTanzania?

Mnatawala mkiwa wahalifu. Sehemu pekee inayomhusu mhalifu ni mbele ya HAKI.
 
Hujakatazwa kumtambua Padre Kitima kama Rais wako, cha muhimu usituletee unyumbu wa kihalifu wa wizi na uharibifu wa mali tutakushona hadi mama yako aje agaregare mbele ya camera kukuombea msamaha
 
Kilichoitwa maandamano ya 9 na 25 desemba kimeshindikana kwa sababu hao hao walioikataa CCM wamekataa uchochezi wa kipuuzi kutoka kwa Mange na Maria. Bora waendelee kusota katika umaskini kuliko kupoteza uhai na kuingia mazima kwenye ufukara.

Tembea huko mikoani uone kazi nzito sana ambayo inaipa uhalali CCM kuwa pale ikulu, usidanganywe na hivi vyombo vya habari ambavyo nyuma yake kuna uasi mwingi.
 
Familia ya wanamtandao wamejazana JF kuanzisha mijadala inayohanikiza kuwa tuna serikali.

Tanzania leo inaongozwa na kundi la wahaini waliobaka Katiba, walioharibu mifumo ya demokrasia na hatimaye kuua bila huruma Watanzania 10,000 ili waendelee kutawala.

Yeyote anayemtambua Samia kama rais ni sehemu ya wauaji wa raia ili kumsapoti malikia wa mauti madarakani.
hakika
 
Kilichoitwa maandamano ya 9 na 25 desemba kimeshindikana kwa sababu hao hao walioikataa CCM wamekataa uchochezi wa kipuuzi kutoka kwa Mange na Maria. Bora waendelee kusota katika umaskini kuliko kupoteza uhai na kuingia mazima kwenye ufukara.

Tembea huko mikoani uone kazi nzito sana ambayo inaipa uhalali CCM kuwa pale ikulu, usidanganywe na hivi vyombo vya habari ambavyo nyuma yake kuna uasi mwingi.
Sasa huu ndio ujinga mkubwa unaowapa matumaini watu waovu wa aina yenu.
Unategemea kuwa Dec 9 na 25 ndiyo jibu kuwa sasa mpo salama!

Endelea na usingizi huo huo.
 
Hujakatazwa kumtambua Padre Kitima kama Rais wako, cha muhimu usituletee unyumbu wa kihalifu wa wizi na uharibifu wa mali tutakushona hadi mama yako aje agaregare mbele ya camera kukuombea msamaha
Kwa mfumo huo mambo yatakuwa ya kujirudiarudia mwisho nchi itapoteza mwelekeo. kumbuka watawala hulazimisha kubaki madarkani kwa interest zao wala sio kwamba wana nia ya dhati kujenga taifa bora ..
Taifa hujegwa kwa mawazo ya wengi na ya kila upande..
Ukweli usemwe na muukubali na muufanyie kazi chuki huleta chuki zaidi bunduki na mauwaji ingekuwa suluhisho Sudan leo ingekuwa imepiga hatua.
 
Nimewataja familia ya wahaini waliopindua nchi wamejazana mitandaoni, nadhani mmewaona wakibishana na ukweli niliouweka hapo juu
 
Kilichoitwa maandamano ya 9 na 25 desemba kimeshindikana kwa sababu hao hao walioikataa CCM wamekataa uchochezi wa kipuuzi kutoka kwa Mange na Maria. Bora waendelee kusota katika umaskini kuliko kupoteza uhai na kuingia mazima kwenye ufukara.

Tembea huko mikoani uone kazi nzito sana ambayo inaipa uhalali CCM kuwa pale ikulu, usidanganywe na hivi vyombo vya habari ambavyo nyuma yake kuna uasi mwingi.

Steven Joel Ntamusano​

Wahalalisha kabisa kwamba waandamanaji waendelee kusota katika umaskini.

Unokifanya ni "justification" ya matendo yenu ya kuua raia waso na hatia "which is so so wrong big time", na kama walikuwa ni wahalifu mngewafikisha kwenye mahakama wahukumiwe, angalau ionekane mmefuata sheria?

Badala yake mmeua watoto wa watu at random, really?

Hivi wafahamu endapo hao waandamanaji wazipata hizo silaha mnazoringia kuwaulia,Tanzania haitakuwa kama ilivyo sasa?

Usipende kutetea kila kitu kuna wakati ufikirie nje ya box, yapo ya kutetea lakini si hayo unoyasema.
 
Back
Top Bottom