Tanzania tuna RAIS anaitwa Dr. SAMIA SULUHU HASSANI(hons)Familia ya wanamtandao wamejazana JF kuanzisha mijadala inayohanikiza kuwa tuna serikali.
Tanzania leo inaongozwa na kundi la wahaini waliobaka Katiba, walioharibu mifumo ya demokrasia na hatimaye kuua bila huruma Watanzania 10,000 ili waendelee kutawala.
Yeyote anayemtambua Samia kama rais ni sehemu ya wauaji wa raia ili kumsapoti malikia wa mauti madarakani.
Wewe na wenzio wachache msipomtambua tupo wengine zaidi ya milioni 30 tunamtambua hakuna kinachoharibika.Familia ya wanamtandao wamejazana JF kuanzisha mijadala inayohanikiza kuwa tuna serikali.
Tanzania leo inaongozwa na kundi la wahaini waliobaka Katiba, walioharibu mifumo ya demokrasia na hatimaye kuua bila huruma Watanzania 10,000 ili waendelee kutawala.
Yeyote anayemtambua Samia kama rais ni sehemu ya wauaji wa raia ili kumsapoti malikia wa mauti madarakani.
Kinachowahangaisha sana hawa watu waovu ni kupata hiyo 'legitimacy' ya wao kuwa ni viongozi halali waliopo madarakani kihalali.Familia ya wanamtandao wamejazana JF kuanzisha mijadala inayohanikiza kuwa tuna serikali.
Tanzania leo inaongozwa na kundi la wahaini waliobaka Katiba, walioharibu mifumo ya demokrasia na hatimaye kuua bila huruma Watanzania 10,000 ili waendelee kutawala.
Yeyote anayemtambua Samia kama rais ni sehemu ya wauaji wa raia ili kumsapoti malikia wa mauti madarakani.
Samia na watu kama wewe, mnaodhani nyinyi mtawalazimisha waTanzania wawakubali sasa mmeanza kutambua kuwa ulaghai haulipi.Wewe na wenzio wachache msipomtambua tupo wengine zaidi ya milioni 30 tunamtambua hakuna kinachoharibika.
Mlitaka muachiwe muichome moto nchi ambayo imetengenezwa kwa jasho na damu!. Yaani mfanye ujinga wa kila aina halafu mwishoni eti mtandikiwe zulia jekundu!.
Uhaini mliufanya nyinyi mlioleta siasa za kihuni mkakutana na wahuni wenye kuujua uhuni kwa kina.
Kilichoitwa maandamano ya 9 na 25 desemba kimeshindikana kwa sababu hao hao walioikataa CCM wamekataa uchochezi wa kipuuzi kutoka kwa Mange na Maria. Bora waendelee kusota katika umaskini kuliko kupoteza uhai na kuingia mazima kwenye ufukara.Samia na watu kama wewe, mnaodhani nyinyi mtawalazimisha waTanzania wawakubali sasa mmeanza kutambua kuwa ulaghai haulipi.
WaTanzania wamewakataa; sasa mnalazimisha kutawala kwa nguvu kwa mitutu ya bunduki. Lakini mnajuwa pia kwamba mitutu hiyo hiyo nyie wenyewe hamna kinga nayo. Kwa hiyo mnaishi kwa kubahatisha tu sasa.
Mtu kama Hamza Johari, ataachwa vipi katika ushiriki huu wa kuwaumiza waTanzania?
Mnatawala mkiwa wahalifu. Sehemu pekee inayomhusu mhalifu ni mbele ya HAKI.
hakikaFamilia ya wanamtandao wamejazana JF kuanzisha mijadala inayohanikiza kuwa tuna serikali.
Tanzania leo inaongozwa na kundi la wahaini waliobaka Katiba, walioharibu mifumo ya demokrasia na hatimaye kuua bila huruma Watanzania 10,000 ili waendelee kutawala.
Yeyote anayemtambua Samia kama rais ni sehemu ya wauaji wa raia ili kumsapoti malikia wa mauti madarakani.
Sasa huu ndio ujinga mkubwa unaowapa matumaini watu waovu wa aina yenu.Kilichoitwa maandamano ya 9 na 25 desemba kimeshindikana kwa sababu hao hao walioikataa CCM wamekataa uchochezi wa kipuuzi kutoka kwa Mange na Maria. Bora waendelee kusota katika umaskini kuliko kupoteza uhai na kuingia mazima kwenye ufukara.
Tembea huko mikoani uone kazi nzito sana ambayo inaipa uhalali CCM kuwa pale ikulu, usidanganywe na hivi vyombo vya habari ambavyo nyuma yake kuna uasi mwingi.
Kwa mfumo huo mambo yatakuwa ya kujirudiarudia mwisho nchi itapoteza mwelekeo. kumbuka watawala hulazimisha kubaki madarkani kwa interest zao wala sio kwamba wana nia ya dhati kujenga taifa bora ..Hujakatazwa kumtambua Padre Kitima kama Rais wako, cha muhimu usituletee unyumbu wa kihalifu wa wizi na uharibifu wa mali tutakushona hadi mama yako aje agaregare mbele ya camera kukuombea msamaha
Huna akiliTanzania tuna RAIS anaitwa Dr. SAMIA SULUHU HASSANI(hons)
Usimuamshe aliyelalaSasa huu ndio ujinga mkubwa unaowapa matumaini watu waovu wa aina yenu.
Unategemea kuwa Dec 9 na 25 ndiyo jibu kuwa sasa mpo salama!
Endelea na usingizi huo huo.
We unayo?Huna akili
Tokeni tu huko nje muandamane, mnaogopa nini?.Sasa huu ndio ujinga mkubwa unaowapa matumaini watu waovu wa aina yenu.
Unategemea kuwa Dec 9 na 25 ndiyo jibu kuwa sasa mpo salama!
Endelea na usingizi huo huo.
Mnakaribishwa huko barabarani muandamane muda wowote tu.Usimuamshe aliyelala
Kilichoitwa maandamano ya 9 na 25 desemba kimeshindikana kwa sababu hao hao walioikataa CCM wamekataa uchochezi wa kipuuzi kutoka kwa Mange na Maria. Bora waendelee kusota katika umaskini kuliko kupoteza uhai na kuingia mazima kwenye ufukara.
Tembea huko mikoani uone kazi nzito sana ambayo inaipa uhalali CCM kuwa pale ikulu, usidanganywe na hivi vyombo vya habari ambavyo nyuma yake kuna uasi mwingi.