Kumtambulisha Hamissa Mobeto mbele ya Makamu wa Rais ni upuuzi wa kiwango cha kimataifa kwa Haji Manara

Unaenda kwenye sherehe ya watu kisha unaanza kuichambua chambua na kununa nuna bila mpangilio. Wacha watu wafurahie sherehe yao ebooh!
 
Mkoo busy kuongelea matukio ya Yanga Day ila baada ya tarehe nane mtaanza kuongelea matukio yenu,huku mkikumbushia bil 20.
 
Walitambulishwa madada na mashangazi Jmosi baada ya Mo Kuitwa.

Hamisa ni Brand hapa nchini kuliko hata wale madada na mashangazi. Ajabu iko wapi?

Tofauti ya Fatema ,Gulam na Shangazi wa Mo ni ipi dhidi ya Hamisa??

Events zilikiwa za furaha , utani na vibe za kutosha. Acheni ujinga !
 
M
Kiukweli nimesikitika sana, yaani siku ya Mwananchi imegeuka kuwa siku ya watu kutangaza ndoa? Eti Hamisa mnafunga ndoa lini? Why between my interview unakuwa mpumbavu kiasi hiki?

Hamissa Mobetto ni nani hadi atambulishwe siku hiyo ya Mwananchi, maskini mmempiga chini Ally Kamwe hajaonekana mwanzo wa tukio wala mwisho wakati yeye ndio amehaso kule Mbagala kuhamasisha watu wanunue tiketi, kijana wa watu anapambana kuifanya Yanga iwe juu zaidi halafu mswahili mmoja tu ambaye amefukuzwa SImba anakula raha kwa kufanya promo kwenye Wasafi Media utadhani redio hiyo inasikika nchi nzima, halafu unawaletea watu Mobetto.

GSM mnakaa pale mnafanya show ya maana ndio kumleta Mobetto na kuvalishwa fulana na domo la ndege, hii maana yake ni nini sasa.

Halafu mmedhihirisha kuwa bila ushirikina wachezaji wenu ni wa kawaida tu, hivi kweli muifunge Kaizer Chief bao 4 halafu mhangaike kuifunga Red Arrows hadi mchezaji atolewe nje kwa red card, kweli kama sio timu yetu kutegemea majini ni nini.
Mtu kakulia kariakoo ataachaje kuwa mswahili wa kupindukia!..mwehu tu huyo
 
Ulitaka atambulishe mbegu za tumbaku??
 
Walitambulishwa madada na mashangazi Jmosi baada ya Mo Kuitwa.

Hamisa ni Brand hapa nchini kuliko hata wale madada na mashangazi. Ajabu iko wapi?

Tofauti ya Fatema ,Gulam na Shangazi wa Mo ni ipi dhidi ya Hamisa??

Events zilikiwa za furaha , utani na vibe za kutosha. Acheni ujinga !
Hamisa ni brand ya umalaya kakazwa na kila mwanaume halafu eti mnamtambulisha mbele ya makamu wa rais
 
Back
Top Bottom