Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti walichoka,Unaenda kwenye sherehe ya watu kisha unaanza kuichambua chambua na kununa nuna bila mpangilio. Wacha watu wafurahie sherehe yao ebooh!
Mtu kakulia kariakoo ataachaje kuwa mswahili wa kupindukia!..mwehu tu huyoKiukweli nimesikitika sana, yaani siku ya Mwananchi imegeuka kuwa siku ya watu kutangaza ndoa? Eti Hamisa mnafunga ndoa lini? Why between my interview unakuwa mpumbavu kiasi hiki?
Hamissa Mobetto ni nani hadi atambulishwe siku hiyo ya Mwananchi, maskini mmempiga chini Ally Kamwe hajaonekana mwanzo wa tukio wala mwisho wakati yeye ndio amehaso kule Mbagala kuhamasisha watu wanunue tiketi, kijana wa watu anapambana kuifanya Yanga iwe juu zaidi halafu mswahili mmoja tu ambaye amefukuzwa SImba anakula raha kwa kufanya promo kwenye Wasafi Media utadhani redio hiyo inasikika nchi nzima, halafu unawaletea watu Mobetto.
GSM mnakaa pale mnafanya show ya maana ndio kumleta Mobetto na kuvalishwa fulana na domo la ndege, hii maana yake ni nini sasa.
Halafu mmedhihirisha kuwa bila ushirikina wachezaji wenu ni wa kawaida tu, hivi kweli muifunge Kaizer Chief bao 4 halafu mhangaike kuifunga Red Arrows hadi mchezaji atolewe nje kwa red card, kweli kama sio timu yetu kutegemea majini ni nini.
Ulitaka atambulishe mbegu za tumbaku??Kiukweli nimesikitika sana, yaani siku ya Mwananchi imegeuka kuwa siku ya watu kutangaza ndoa? Eti Hamisa mnafunga ndoa lini? Why between my interview unakuwa mpumbavu kiasi hiki?
Hamissa Mobetto ni nani hadi atambulishwe siku hiyo ya Mwananchi, maskini mmempiga chini Ally Kamwe hajaonekana mwanzo wa tukio wala mwisho wakati yeye ndio amehaso kule Mbagala kuhamasisha watu wanunue tiketi, kijana wa watu anapambana kuifanya Yanga iwe juu zaidi halafu mswahili mmoja tu ambaye amefukuzwa SImba anakula raha kwa kufanya promo kwenye Wasafi Media utadhani redio hiyo inasikika nchi nzima, halafu unawaletea watu Mobetto.
GSM mnakaa pale mnafanya show ya maana ndio kumleta Mobetto na kuvalishwa fulana na domo la ndege, hii maana yake ni nini sasa.
Halafu mmedhihirisha kuwa bila ushirikina wachezaji wenu ni wa kawaida tu, hivi kweli muifunge Kaizer Chief bao 4 halafu mhangaike kuifunga Red Arrows hadi mchezaji atolewe nje kwa red card, kweli kama sio timu yetu kutegemea majini ni nini.
Hamisa ni brand ya umalaya kakazwa na kila mwanaume halafu eti mnamtambulisha mbele ya makamu wa raisWalitambulishwa madada na mashangazi Jmosi baada ya Mo Kuitwa.
Hamisa ni Brand hapa nchini kuliko hata wale madada na mashangazi. Ajabu iko wapi?
Tofauti ya Fatema ,Gulam na Shangazi wa Mo ni ipi dhidi ya Hamisa??
Events zilikiwa za furaha , utani na vibe za kutosha. Acheni ujinga !
Kama ilivyo kwa Kim Kardashian ..Hamisa ni brand ya umalaya kakazwa na kila mwanaume halafu eti mnamtambulisha mbele ya makamu wa rais