Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Vidole hivyo mkuu.Usinioneshe vidole.πππKivipi?
Vidole vinasemaje?Vidole hivyo mkuu.Usinioneshe vidole.πππ
Katika mabinti wa BAVICHA nliokua na matumaini nao ukiacha zainab mudhihir, Dorcas Francis, Upendo peneza, Esther chisanga n.k basi huyu nilimpa marks zaidi lakini amekua disappointment kuliko nilivyotarajia.Kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kumtambulisha Nusrat Hanje kama kiongozi wa Bavicha, na kwamba ule ndio uwakilishi wa vijana wa Chadema kwenye Mkutano wa Rais na Vijana huko Nyamagana Mwanza ni kumpiga changa la macho Mh Rais .BAVICHA haikuhudhuria mkutano huo na wala haikutuma mwakilishi yeyote.
Nusrat Hanje na wenzake 18 walishafukuzwa kwenye uongozi na kuvuliwa uanachama wa Chadema kwa tuhuma za USALITI , Hawa wote kwa ujumla wao hawana uwezo wa kuwakilisha chadema kwenye jambo lolote.
Aliyetangaza jambo hili la uongo alilenga kumdanganya Rais ili ionekane Mkutano ule wa vijana wa CCM na Mwenyekiti wa chama chao ni mkutano wa vijana wote wa Tanzania, wakati si kweli. Napendekeza muongo huyo atumbuliwe haraka ili kunusuru mambo yasiharibike zaidi, ikiwa na ugeni wake Mwanza ameanza na uongo duni kama huu, itakuwaje akiachwa hapo mwaka mzima?
Hakuna chochote kinachohusu hao wabunge asichokijua.
Mimi binafsi katika mabinti wa Bavicha naowaamini na matumaini kwao ni weweKatika mabinti wa BAVICHA nliokua na matumaini nao ukiacha zainab mudhihir, Dorcas Francis, Upendo peneza, Esther chisanga n.k basi huyu nilimpa marks zaidi lakini amekua disappointment kuliko nilivyotarajia.
Yaani amepinga udhalimu wa CCM kwa miaka 10 alafu leo hii anaingia bungeni kwa endorsement yao? Hvi leo mentor wake; Aplhonce Mawazo akifufuka atajibu nini? Kuna mambo hii nchi yanakera sana.
Kwani kumuita mtu binti ni dhihaka?? Si ni jinsia ambayo bila hiyo usingekuja duniani?Mimi binafsi katika mabinti wa Bavicha naowaamini na matumaini kwao ni wewe
Chama cha mashogaKivipi?
Hii misemo ya kimalaya unaitoa wapi MATAGA?Hebu kuwa na heshima.
Ulitegemea nini kutoka kwa Katambi?Hata mimi nimeshangaa sana
Muda sii mrefu unasema,wenyewe ni mwalimu wa kweli,hata kwa wababe wasiotishika na yeyote na chochote.Kwani muda si mrefu wenyewe unasemaje?
Nyumbu mama yako aliyekunyima malezi boraWalipoambiwa
Samia = Magufuli
hawakuelewa?
Unyumbu wako utakuponza
Kwani mwalimu anasemaje?Muda sii mrefu unasema,wenyewe ni mwalimu wa kweli,hata kwa wababe wasiotishika na yeyote na chochote.
Kamanda tulia dawa iingie.Chama cha mashoga
Anasema mtaelewa tuu.Kwani mwalimu anasemaje?