Kumtamkia mzazi wako nakupenda kimaadili ya Kitanzania ni utovu wa nidhamu

I think it depends na malezi so hatuwezi kukulaumu.

Binafsi huwa namumambia Baba Yangu nampenda kila mara kwa sababu natambua uwepo wake maishani mwangu.

Sio rahisi kuwalea watoto wa kike wawili pekee yake na kuhakikisha basic needs zao wanapata.

The older you get ndo unajua kweli mzazi wako ali fight kwa ajili yako.

There are other ways of showing your parents that you love them and appreciate them. You don't have to say it. Ila wanaowaambia pia wapo sahihi.

Tusi force kufanana.
 

Then maadili ya Kitanzania ni ya Kipumbavu maana vitabu vyote vya dini vyatutaka tufanye hivyo
 
neno hili tunalolitumia kila siku kwa madem na malaya ?? mm sijawah kumwambia mama yangu nakupenda, wala sijawah kumtamkia mtoto wangu nakupenda lkn hawajawah kuwa na doubt na upendo wangu kwao, nadhani hawahitaji hili neno ili waprove kama nawapenda.
 
Hao wanaowakumbatia,kuwapakata na kuwabusu mama zao ni watz na watu wasiofanya hayo pia ni watz. Tuvumiliane ili maisha yaendelee.
Kuna nchi za kiafrika za watu weusi,watoto huwasifia mama zao Kwa kuvaa chupi nzuri na kulana denda kabisa na yao yanaendelea bila wasiwasi wowote.
Kuna família moja pale Afrika Kusini walitaka kuniingiza ktk família yao lkn Mi ilinishinda . Kwa week lzm jumapili wakutane na wakikutana salamu ni kulana madenda,baba,mama na watoto wao(wakike na wa kiume),denda kabisaaaaaaa!
Nalog off
 
Then maadili ya Kitanzania ni ya Kipumbavu maana vitabu vyote vya dini vyatutaka tufanye hivyo
Vitabu vya dini vinavyotamka uwe unabweka ohhh nakupenda nakupenda Mungu? Ni vitabu vipi?

Biblia yenyewe inatamka wazi kabisa Yesu alisema kama mwanipenda mtazishika Amri zangu kwenye Yohana 14:15

Yesu mwenyewe na Mungu hawapendwi kwa Maneno matupu ni kwa kushika Amri zao na maamrisho yao
 

Siwezi kukujibu maana you are not exposed to facts enough to understand , upo sahihi for your level of understanding....
 
Siwezi kukujibu maana you are not exposed to facts enough to understand , upo sahihi for your level of understanding....
Take note

You are not allowed to tell me or my family members ohhh I love you.Tell yourself and your family
 
Yaan nimwambie bi mkubwa nakupenda? Anaweza hata nirushia kipande cha ukuni pembeni yake kikaniumiza. "Hebu ntolee ujinga hapa kenge wee" (in my mama voice).
 
Acheni ungese kwani ukimkumbatia na kumpiga busu mama yako mnakuwa tayari mmeshatomb@n@?
Acheni mawazo ya kimasikini.
Siku mama yako akifa utatamani hata uende ukamkumbatie mbuzi na umpige busu.
Onesha upendo wako kwa namna unayoona inafaa kwako.
Nilivyomuelewa mwandishi Ni kwamba 'parents need real love only, and not emotional love.'
May be because emotional love mara nyingi husababisha sex organs excitement, hivyo mwandishi anaona ajiepushe na dhambi ya ku - excite organs zake mbele ya mzazi au yeyote anaemheshimu Kama mzazi,
na pengine kwa mwanaume mwenzio Kama rafiki, Kaka nk.
But to wives and the likes you can either give emotional love, real love or both..
 
Niliwahi kumwambia mama mmoja ' nakupenda' , hakuwa mama yangu,
Alikuwa Ni mtu mzima sawa na mama yangu, kipindi hicho akiwa ana approach 60s, akanijibu:
'Mtu mzima hatamkiwi mapenzi, ila anaoneshwa upendo'.
 
Yaani kumkubatia tu mama yako ndio dushe lisimame na kuwaza ngono?
Basi huyo mtu anakuwa zwazwa.
Kumuonesha hisia sio kitu kibaya.
Tatizo watz wengi akili na mawazo yetu yapo kwenye ngono zembe zaidi ya 95%.
 
Aiseee mkuuu, nimekuelewa,
Kumbe Kuna mahali watu wanahitaji watamkiwe 'nakupenda' , ili wa'prove' upendo walioutilia mashaka...!
 
mwamba uko sahihi.....haya mambo ya kuiga kuiga haya.....tunatengeneza kizazi cha hovyo sana.....kijana wangu nilimsikia akimwambia mamake,,,,ikabidi nimpe somo...waafrika hatuna hizo .....WABANTU sisi......
 
Yaan nimwambie bi mkubwa nakupenda? Anaweza hata nirushia kipande cha ukuni pembeni yake kikaniumiza. "Hebu ntolee ujinga hapa kenge wee" (in my mama voice).
duh mkuu hata sijui naanzaje kutamka huo utopolo asee mama anaweza kufunga mwaka bila kula akinipigia maombi na vile mama ni mtu wa dini hapa lazima hilo pepo la kizungu linakimbia jenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu anayo namna yake ya kuonyesha upendo . Waache watu wapendane tu na mama zao kwani malezi na familia tulizotokea zina mitazamo tofauti.
 
Kuna namna
Take note

You are not allowed to tell me or my family members ohhh I love you.Tell yourself and your family
kuna namna Una matatizo; jaribu kuongea na watu wa karibu unaowaamini wakusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…