incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
- Thread starter
- #21
sawa mkuu kwa kuwa natia mwenyewe na hainidhuru let it beUnatia aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa mkuu kwa kuwa natia mwenyewe na hainidhuru let it beUnatia aibu
sureHata kumwambia mume au mke nakupenda kiafrika Ni kosa
Waafrika tunaamini Love is not a word it is something you do
Ukimpenda mkeo au mmeo au yeyote sio kelele za ohhh honey oh my biscuit ,my chocolate na ujinga mwingine.What do you do is more important than the word I love you
Wazungu wanafiki wanapenda show of mabarabarani kelele za I love you nyingiiiiii kutwa kuachana
Mswahili ukisikia anamwambia mkewe au Mume hadharani kuwa I love you muambiwa lazima ashtuke kuwa kwa Nini kuniambia Hivyo sio bure ana Jambo huyu au anataka kuniacha haoni nampenda kwa kumpikia vizuri nk au yeye anahisi kuwa Mimi naona hanipendi? kwa Nini aniambie Hivyo kwani Kuna lolote nilifanya au yeye kafanya ambalo imebidi atilie mkazo kuwa ananipenda?
yes mkuu kwa kuwa coment inahusu wanawake that is why nimezungumzia nafasi ya mama na mke ila collection ni nkwamba mzazi hana mbadalaUnasemaje kuhusu sisi akina baba? Mbona haututaji kabisa? Ama wewe ni mtoa mbegu tu??
kusema na kupost havina umhimu mkuu suala ni kumtunza mzee hata ukeshe unaimba na humsaidii hamna lolote neno nakupenda ni unafiki mtupuWabongo bwana!!
Hebu kila mmoja aishi kwa kanuni za taratibu alizojiwekea ilimradi hajaharibu maisha ya mwingine.
Utaka mpaka afe ndio uje upost mitandaoni eti "Nakupenda mama nitakukumbuka daima" unafiki mtupu.
Ukipata nafasi mwambia ninakupenda mama angu wewe ndio furaha yangu , uone atakavyojisikia.
Unafiki tu unawasumbua.
Acha uzungu weweMy daughter is always telling me, NAKUPENDA SANA MAMA, is she wrong, acheni hizo
Sahihi Mama yako Kama unampenda mpelekee zawadi ya kitu kizuri hata hela kiafrika kelele za I love you hazina maana yeyoteSiku nikienda mkumbatia mama na kumwambia nakupenda,aisee kwanza siwezi na hata yeye ataona kuna tatizo sehemu atahisi nimelewa walai ataingia maombini kuniombea.
Suala la kuwa nampenda anajua vzr tu.
Js imagineUtomvu wa nidhamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha uzungu wewe
Kiafrika Love is not a word it is a deed
Huyo binti yako ukimtuma kitu anakutii, je anakusikiliza na kuzingatia maagizo na ushauri wako ?
Kelele za I love you I love you ni empty noise za kizungu za mitoto inayosoma English medium
Mitoto unakuta kutwa halisikii au dume Koko halisikii lakini kutwa kelele ohh my queen you are my voucher ,my watsapp etc I love you .Ujinga mtupu
Waafrika tunaamini Love is not a word it is a deed .Maneno matupu hayana maana yeyote kwenye mapenzi ya kiafrika
Hayo Maneno ya I love you mummy my best Instagram mwambie akawaambie wazungu na wanaosoma naye English medium .Mwambie nilikutuma kuosha vyombo au kudeki hukufanya hiyo Kelele yako ya I love you kwa lipi hasa wewe kibwengo?
Kwani, nini maana ya kumpiga mtu nusu.....ndo ukamkumbatie mam yako na kumpga busu