Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mantiki hiyo,jamii yako inawaza ngono sana,wanahisi ukisema nakupend,unataka mzigo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku nikienda mkumbatia mama na kumwambia nakupenda,aisee kwanza siwezi na hata yeye ataona kuna tatizo sehemu atahisi nimelewa walai ataingia maombini kuniombea.
Suala la kuwa nampenda anajua vzr tu.
Umepaniki jomba, usiforce watu wote wafanane na weweAcha uzungu wewe
Kiafrika Love is not a word it is a deed
Huyo binti yako ukimtuma kitu anakutii, je anakusikiliza na kuzingatia maagizo na ushauri wako ?
Kelele za I love you I love you ni empty noise za kizungu za mitoto inayosoma English medium
Mitoto unakuta kutwa halisikii au dume Koko halisikii lakini kutwa kelele ohh my queen you are my voucher ,my watsapp etc I love you .Ujinga mtupu
Waafrika tunaamini Love is not a word it is a deed .Maneno matupu hayana maana yeyote kwenye mapenzi ya kiafrika
Hayo Maneno ya I love you mummy my best Instagram mwambie akawaambie wazungu na wanaosoma naye English medium .Mwambie nilikutuma kuosha vyombo au kudeki hukufanya hiyo Kelele yako ya I love you kwa lipi hasa wewe kibwengo?
unayempenda haitaji kuambiwa, anaona.... hta mm siwez kumwambia mama nakupenda , wajibu wangu ni kumjali kutimiza mahitaji yakw kwa haraka kumjulia hali n.k,kelele za nakupendq ni za watotoWaafrika ni Kima waliochangamka,yaani kumwambia mzazi wako unampenda ni kosa?!
Mama's boymama siku akiwa hayupo hana replacement, mke ndoa huvunjika, mke mnatarakiana, mke akifa au akiondoka utaoa mwingine maisha yataenda huduma ya mke utaipata tu ila mama hana replacement akiondoka nafasi yake hakuna wa kuiziba kama unadhani mmeo anakujali kuliko mama yake au kama unamjali mkeo kuliko mama yako tegemea laana
Kwa asili ya binadamu tulivyo neno nakupenda lina umuhimu wake,lina nguvu yake na lina umaalum wake ukilinganisha na matendo.unayempenda haitaji kuambiwa, anaona.... hta mm siwez kumwambia mama nakupenda , wajibu wangu ni kumjali kutimiza mahitaji yakw kwa haraka kumjulia hali n.k,kelele za nakupendq ni za watoto
Silazimishi African culture I love you is not a word is a deedUmepaniki jomba, usiforce watu wote wafanane na wewe
Mimi nikienda kijijini naenda na pesa lakini wanakijiji ndugu zangu hawaniambii we love you wananipa vindizi vichache ,vikaranga vichache ,miwa michache ambavyo kwa uwezo wangu naweza nunulia Kijiji but I feel so loved kwa kidogo walichonacho walichonipa kuliko wangeniambia we love you in English !!!Kwa asili ya binadamu tulivyo neno nakupenda lina umuhimu wake,lina nguvu yake na lina umaalum wake ukilinganisha na matendo.
Ukimwambia mtu nakupenda hawezi kusahau kamwe lakini ukimfanyia matendo matupu kuna uwezekano wa kusahau baadhi ya matendo hayo kwa kufikiri kuwa ni wajibu wako kufanya hayo matendo.
Sas hbr za kijijini kwenu ndio watu wote wafuate[emoji706][emoji706]Mimi nikienda kijijini naenda na pesa lakini wanakijiji ndugu zangu hawaniambii we love you wananipa vindizi vichache ,vikaranga vichache ,miwa michache ambavyo kwa uwezo wangu naweza nunulia Kijiji but I feel so loved kwa kidogo walichonacho walichonipa kuliko wangeniambia we love you in English !!!
Vimaharage vyao vidogo they speak louder than English word ya We love you!!
Eleza vizuri,unaposema kwa wazungu neno nakupenda ni word unakuw na maana gani?Silazimishi African culture I love you is not a word is a deed
Wazungu I love you is a word!!!
Hapa tunazungumzia mtu kukuambia kuwa 'nakupenda' kwa kiswahili.Akikuambia kwa English huwa haina nguvu sana.Mimi nikienda kijijini naenda na pesa lakini wanakijiji ndugu zangu hawaniambii we love you wananipa vindizi vichache ,vikaranga vichache ,miwa michache ambavyo kwa uwezo wangu naweza nunulia Kijiji but I feel so loved kwa kidogo walichonacho walichonipa kuliko wangeniambia we love you in English !!!
Vimaharage vyao vidogo they speak louder than English word ya We love you!!
Ok fuata uzungu me I am an African I am not a photocat of Europeans and I will never beSas hbr za kijijini kwenu ndio watu wote wafuate[emoji706][emoji706]
I repeat I love you kwa African Tradition is not a word it should first be backed by action firstSas hbr za kijijini kwenu ndio watu wote wafuate[emoji706][emoji706]
Unaona sasa?Mama's boy
Sasa unaoa ili iweje,si uendelee kukaa tu kwa mama ndio atakulea vizuri.
Mwanaume familia yako kwanza.
Nakuuliza swali jepesi mkuu nategemea utalijibu?Mkuu YEHODAYA umefafanua vema. Kumwambia mzazi wa kiafrika NAKUPENDA sio kosa kisheria ila ni kosa kiutamaduni. Kumkumbatia na kumpiga busu ni hatua nyingine kubwa ya uvunjifu wa maadili. Kwa mfano mababa wa kiafrika hadi kuja kuzoeleka japo kidogo ni ule muda ushamaliza chuo na kuanza kazi. Sasa utaanzaje kumpa hizo pigo za I LOVE YOU DAD?... Sema mleta uzi umechemka sana kusema mama ni namba moja kisha watoto wako halafu mke ni wa mwisho. Huna tofauti na hawa unaowalaumu. Wewe ni MAMA'S BOY.. Namwombea sana huyo shemeji kwa sababu ya kuolewa na mtoto wa mama.