Kumtetea Mbowe ni vigumu. Igizo lake alilofanya leo lina makosa mengi sana ya kiufundi

Jamani si alisema hakufahamu lolote alizuia hata kutoka nje mpaka eti akahoji "hata nje nisitoke nimekuwa mwali?" 🀣 🀣 🀣 ona Sasa mzee wa watu hajui kusema uongo.
 
Hii clip haihusiani na lile kundi la watu lililoingia kwa Mbowe likimtaka achukue fomu.
Hakuna udhibitisho.!!
 
tuliza fuvu wewe hujui siasa hapo ndiyo zimekolea sasa wachas wachambuane kama karanga wewe kakojoe ukalale
 
Hii clip haihusiani na lile kundi la watu lililoingia kwa Mbowe likimtaka achukue fomu.
Hakuna udhibitisho.!!
hahaaaa yaaniu mpaka hii clip mnaikataa? mmeliwaaa mbowe kajichanganya hapo uongo wa kitoto kabisa
 
Mbowe anamgaragaza Lisu mapema sana
Huu ni ukweli mchungu kwa Lissu na genge lake. Uchaguzi ni wapiga kura. Lissu hana connection na wapiga kura. Watu wa mtandaoni huwa hawapigi kura zaidi ya makelele.
 
Hii nguvu na muda mnaotumia kuongelea uchaguzi wa chadema..mngetumia kuiambia serikali iwarudishe Soka, Mbise, Chaula na wengine waliotekwa
Mbowe mtu hatari sana, yeye ndiye kawateka hawa akina Soka baada ya kuonekana Wana Nia ya kuleta mababddiliko ktk chama. Imefahamika.
 
 
Sasa alichofanya Lissu kukodi ukumbi mlimani city ndo sawaaa ?? Kuwasafirisha wapambe wake toka mikoani ndio sawa ?? kapata wapi pesa ?? Na atazirudishaje ? Eti kamuwahi Mbowe kutangaza kuwa anagombea uwenyekiti ili aachiwe huyu jamaa hana akili kumbeee !
 
Yaani Mbowe anafanya watu ni watoto, uvamiwe na wapenzi wako wakute hadi viti vya kukaa nyumbani kwako?!
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Mwamba katoa boko sana yani
 
πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…