Sasa kama anajua na hafanyi, shida inakuwa nini? Si wanasema ana upendo wote?Unapomuitaji anapatikanika
Katika Biblia (Mathayo 6:8) Yesu anasema Baba anajua mahitaji yako kabla hujamwomba. Katika Uislamu, Mwenyezi Mungu anajua yote.
Yatupasa kumuomba na kumlilia shida zetu kama baba yako mzazi anaekulea
Shida yake anapenda sifa.Sasa kwanini anataka kuabudiwa? Shida yake ni ipi haswa?
Mungu ana viungo vyote vya mwanadamu kama vile:Mungu sio mwanadamu
Wewe je unasemaje Mungu ni nani?Sasa kama anajua na hafanyi, shida inakuwa nini? Si wanasema ana upendo wote?
Umeni quote ila hilo jibu halihusiani na swali langu.Unapomuitaji anapatikanika
Katika Biblia (Mathayo 6:8) Yesu anasema Baba anajua mahitaji yako kabla hujamwomba. Katika Uislamu, Mwenyezi Mungu anajua yote.
Yatupasa kumuomba na kumlilia shida zetu kama baba yako mzazi anaekulea
Mungu hahitaji kupiganiwa na mwanadamu, ni shobo zao tuUkishaona Mungu anahitaji kutetewa na watu ujue hizo ni siasa za watu tu.
Ajabu kweli. 👏👏Binadamu ni dhaifu kiasi hajui kesho yake ,anawezaje kukataa uwepo wa Mungu?
Wakati wao wa kufa umefika kama alivyopanga yeye .Kwa faida ya nani? Lengo lake ni lipi?
Kifo sio adhabuKwanza ,hakuna uhusiano na adhabu ya kuharibu na kifo, vifo vinatokea kila siku ..Unachotakiwa kujua ni kwamba kuna sababu elfu moja ya binadamu kufa ,na kifo kipo ...Ukitaka kujua Mungu yupo au hayupo ,basi hao hawakutaka kufa ila kuna kitu kimefanya hivyo ,wameishi hapo miaka na miaka ilikuwa ni sehemu salama kwao ,ila bado ni dhaifu wamekufa wakiwa na ndoto zao wala hakuna aliyepanga yatokee ili ni Mungu Mkuu.
Binadamu ni dhaifu kiasi hajui kesho yake ,anawezaje kukataa uwepo wa Mungu?
Ndo maana wakikaa wa imani moja wanaelewana tofauti na wewe usiyeamini katika wanaloamini.Kumbe
Kweli kifo sio adhabu ; kila mtu atakufa .Kifo sio adhabu
Naam.Mungu hahitaji kupiganiwa na mwanadamu, ni shobo zao tu
Siamini hivyo.Naam.
Hahitaji kupiganiwa kwa sababuhayupo.
Suala si wewe unaamini nini.Siamini hivyo.