Kumtetea Mungu ni kazi sana!

Mkuu amini Mungu hayupo, ni haki yako kabisa.
Mimi naamini Mungu yupo, ni haki yangu pia.
Mambo ya kuthibitisha kama yupo au hayupo sio muhimu.
Jamii yote hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja.
 
Mkuu amini Mungu hayupo, ni haki yako kabisa.
Mimi naamini Mungu yupo, ni haki yangu pia.
Mambo ya kuthibitisha kama yupo au hayupo sio muhimu.
Jamii yote hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja.

Imani yako kaa nayo, hakuna atakayekuingikia ukikaa nayo, ila ukija JF kujadili mambo tunaingia kutafuta ukweli, si imani tu.

Kwa sababu, kama ulivyosema, hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja.

Sasa ukija haoa na mtazamo wa kusema kuwa tule mavi, mavi ni chakula kizuri, wakati tunajua kula mavi kunasababisha magonjwa, tukuache tu ueneze imani yako potofu kwamba kula mavi ni kitu kizuri, wakati kula mavi kinahatarisha afya ya jamii?

Hatuwezi kukuachia tu ueneze uongo unaohatarisha afya ya jamii.

Hapo ndipo tutakutaka uthibitishe jambo ulilolisema, usieneze imani potofu.

Kuthibitisha ni muhimu kwa sababu kuthibitisha ndiyo kunatuonesha ukweli, zaidi ya imani tu.

Sasa, wewe unapoamini tu Mungu yupo, unajuaje unachoamini ni kweli na huamini uongo tu?
 
Kama una akili timamu utakumbuka,
umeniambia mungu hayupo, nikakujibu mimi siamini hivyo.
Hayo maelezo yoote hapo juu wapi nimesema uamini ninachoamini?
Nikiamini upotofu wewe unapungukiwa na nini,?
 
Kama una akili timamu utakumbuka,
umeniambia mungu hayupo, nikakujibu mimi siamini hivyo.
Hayo maelezo yoote hapo juu wapi nimesema uamini ninachoamini?
Nikiamini upotofu wewe unapungukiwa na nini,?
Katika mazungumzo ya public square hapa unachoamini si muhimu.

Kwa sababu unaweza kuwa unaamini ujinga.

Kitu muhimu ni ukweli.

Umeelewa hilo somo?
 
ujue kwa Mungu kufa, ni transistion tu kutoka A kwenda B
Adhabu ya Mungu ni kubwa sana kuliko kifo na inalenga Watu wanaotesa wengine bila hatia, wanaopunja kwenye mizani, wachawi/washirika, wanasheria wanaonyima watu haki, wanao jilimbikizia mali zisizo za halali nk nk
Mwaka mmoja huu huu wa duniani; kwa Mungu unaweza kuuona mrefu kama miaka 1000 kwa sababu ya uchungu/maumivu ya adhabu ya Mungu- ambayo ni kali kuliko adhabu yoyote uliyowahi kuifirikiria na ujue hakuna kufa. WATU WANAFANYA MZAHA, ILA SIKU ZA MWISHO ZITAKUWA NGUMU SANA!
 
Katika mazungumzo ya public square hapa unachoamini si muhimu.

Kwa sababu unaweza kuwa unaamini ujinga.

Kitu muhimu ni ukweli.

Umeelewa hilo somo?
Punguza ujuaji,
Imani yangu haikuhusu.
 
Punguza ujuaji,
Imani yangu haikuhusu.
Imani yako hainihusu, ndiyo maana sijakufuata nyumbani kwako au unapoabudu nikazungumza nawe kuhusu imani yako.

Ila mazungumzo ya JF yananihusu.

Ukiileta imani yako JF, inanihusu.

Kwa sababu inakuwa sehemu ya mazungumzo ya JF.

Acha longolongo.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Punguani pekee ndie anaweza kurupuka na jambo lisilokuwepo.
Mwambie baba na mama yako wakupe huo uthibitisho, kenge wewe.
Hili ni jukwaa huru acha ujinga wa kujiona una umuhimu kwenye maisha ya watu.
 
Punguani pekee ndie anaweza kurupuka na jambo lisilokuwepo.
Mwambie baba na mama yako wakupe huo uthibitisho, kenge wewe.
Hili ni jukwaa huru acha ujinga wa kujiona una umuhimu kwenye maisha ya watu.
Umemtaja punguani.

Uwepo wa punguani ni uthibitisho mwingine kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.

Angekuwapo, punguani asingekuwapo.

Mimi nashughuklka na wewe unayeeneza imani potofu kwamba Mungu yupo.

Imani hiyo ipo, wewe unaieneza. Kwa hiyo naishughulikia imani potofu kwamba Mungu yupo, sishughulikii Mungu ambaye hayupo.

Ika wewe huajelewa hoja hii, kwa sababu una uwezo ndogo wa kuelewa mambo.

Hujathibitisha Mungu yupo bado.

Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Kwa sababu hayupo.

Ukibisha, thibitisha Mungu yupo.
 
Sasa kama umeshasema hayupo,
Unataka nithibitishe nini tena?
 
Bujaleta ni nini ? Wewe ndie unalazimisha imani yako potofu hapa.
Nionyeshe hiyo comment
Umeandika hivi.

"Kama una akili timamu utakumbuka,
umeniambia mungu hayupo, nikakujibu mimi siamini hivyo.
Hayo maelezo yoote hapo juu wapi nimesema uamini ninachoamini?
Nikiamini upotofu wewe unapungukiwa na nini,?"

Kwa nini unaongelea mambo ya imani wakati imani kila mtu anayo yake na haina umuhinu hapa kwenye public square, chenye umuhimu hapa ni facts.

Imani yako peleka kwenye nyumba yako ya ibada.

Ukiileta hapa inakuwa sehemu ya mazungumzo ya jamii, inakuwa challenged.

Huelewi wapi?
 
Mkuu amini Mungu hayupo, ni haki yako kabisa.
Mimi naamini Mungu yupo, ni haki yangu pia.
Mambo ya kuthibitisha kama yupo au hayupo sio muhimu.
Jamii yote hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja.
Hapa umetuletea imani yako potofu kwamba Mungu yupo.

Bisha.
 
Kwa hiyo kwa akili yako kusema mimi siamini hivyo nimetaka mungu?
 
Hapa umetuletea imani yako potofu kwamba Mungu yupo.

Bisha.
Punguza ujuaji,
Basi nasema MUNGU yupo,
Sina haja ya kuthibitisha lolote,
Kaa na imani yako, na mimi nakaa na imani yangu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…