Hujathibitisha Mungu yupo.Your desperate thesaurus recital is almost touching. You’ve mistaken verbosity for intelligence, condescension for sophistication, and the indiscriminate deployment of polysyllabic vocabulary for evidence of intellectual superiority.
You accuse me of being semi-literate while producing a pompous torrent of self-congratulation masquerading as an argument. That is not intellectual rigor, it is verbal peacocking.
And spare me the sermon about abstract thoughts. Abstract thinking requires clarity, coherence, and the ability to distinguish a substantive argument from one’s own inflated self-image. You have demonstrated considerably more enthusiasm for sounding profound than for actually being profound.
You claim this is a battle of ideas, yet your entire response reeks of wounded ego. If your argument were genuinely as formidable as you advertise, you wouldn’t need to repeatedly announce your intellectual superiority like an insecure lecturer begging for applause.
So by all means, continue adorning your empty assertions with ornamental vocabulary. A thesaurus can manufacture complexity, but it cannot manufacture intelligence and your verbosity has done a remarkably poor job of concealing the deficit.
Magari nayo yanachakaa na kuharibika, nyumba zinachakaa na kuharibika, wanyama porini wanakulana na kufa kwa kila sababu ingawa hawajui chochote kuhusu kesho. Huu utakuwa ni mzunguko tu wa maisha.😅😅Imekuwaje kwani? kwa hiyo walipenda ? binadamu yoyote anapenda mambo mazuri yatokee kwake ,lazima kuna nguvu inetenda hivyo kama wangejua wangekimbiw hata makazi kubaki bila watu ...
Tunamuhitaji Africa atakomboe kutoka umasikini na taabu za kila aina.Mungu hushuka anapohitajika
Huo ndio ukweli,Binafsi napitia magumu na dhiki tangu utotoni mwangu!
Sijaona msaada wa huyo anayeitwa Mungu.
Maisha yagu hayana tofauti na wafia dini wote tunakula moto.
Kinyume chake pia Kuna watu ni wafia dini Wana maisha mazuri Sana lakini pia Kuna watu wasiokuwa wa kidini wanakula maisha kuliko wafia dini.
Mimi nakubaliana na hii kwamba Maisha ya mtu au kitu chochote huamuliwa na mazingira kiliyopo.
Kidogo ambacho angeweza kufanya angalau ni kuzuia watoto wasife na kukatwa viungo na mabomu na risasi huko Gaza, Congo, Ukraine, Sudan, Lebanon na Iran. Too much evil and unnecessary suffering in this World.Sahihi mkuu, angekuwa na msaada kwanini asigawe msosi kwa watu wasiojiweza?
You have a remarkable talent for dressing intellectual emptiness in extravagant vocabulary. 😂 You mistake verbosity for brilliance, arrogance for authority, and a thesaurus for a brain. If your argument were truly as logically sound as you advertise, it wouldn’t need this much verbal decoration to stay upright. Less peacocking, more reasoning.Hujathibitisha Mungu yupo.
Acha longolongo.
Kama anajua mahitaji hakuna haja ya kumuomba.Unapomuitaji anapatikanika
Katika Biblia (Mathayo 6:8) Yesu anasema Baba anajua mahitaji yako kabla hujamwomba. Katika Uislamu, Mwenyezi Mungu anajua yote.
Yatupasa kumuomba na kumlilia shida zetu kama baba yako mzazi anaekulea
Hata wao wanaabudu ila sisi kuna kitu tumekaririshwa kwa kumweka Mungu katika umbowazungu na wa asia hua wanatushangaa sana kwenye baadhi ya mambo
Nini sababu ya watoto kuteseka na kufa kwa cancer na vita??Ukisoma vitabu vitakatifu hamna janga jipya chini ya jua ,kila kinachotokea duniani kinasababu
Ni kweli na wao wanaabudu, ila sidhani kama wanachukulia maanani sana kauli kama hiziHata wao wanaabudu ila sisi kuna kitu tumekaririshwa kwa kumweka Mungu katika umbo
Statement kama hizo hua zina athariUkisoma vitabu vitakatifu hamna janga jipya chini ya jua ,kila kinachotokea duniani kinasababu
You have a remarkable talent for dressing intellectual emptiness in extravagant vocabulary. 😂 You mistake verbosity for brilliance, arrogance for authority, and a thesaurus for a brain. If your argument were truly as logically sound as you advertise, it wouldn’t need this much verbal decoration to stay upright. Less peacocking, more reasoning.
Binadamu mwenyewe alishakiuka maandiko yote hayo ni matokeo ya sisi wenyewe binadamu,wewe ukiamua kujiua utauwa mwili huwezi kusema ni Mungu ,natamani sana usimchkulie Mungu kama binadamu.Nini sababu ya watoto kuteseka na kufa kwa cancer na vita??
KivipiNi kweli na wao wanaabudu, ila sidhani kama wanachukulia maanani sana kauli kama hizi
Statement kama hizo hua zina athari
Nauliza kuhusu watoto wanaoteseka ambao hawajui chochote kinachoendelea hapa dunianiBinadamu mwenyewe alishakiuka maandiko yote hayo ni matokeo ya sisi wenyewe binadamu,wewe ukiamua kujiua utauwa mwili huwezi kusema ni Mungu ,natamani sana usimchkulie Mungu kama binadamu.
Binadamu alipewa kazi moja tuu mkuu kutawala duniani kupitia msaada wa Mungu sasa kama amekiuka matokeo yake unadhani yatakuwa yapiNauliza kuhusu watoto wanaoteseka ambao hawajui chochote kinachoendelea hapa duniani
Kwa nini mungu alimruhushu shetani kuja duniani wakati kuna matrilioni ya sayari nyingine ulimwenguni??Binadamu alipewa kazi moja tuu mkuu kutawala duniani kupitia msaada wa Mungu sasa kama amekiuka matokeo yake unadhani yatakuwa yapi
Yoda usimtafsiri Mungu kama mtu hata kwenye iyo heading utaishia kumlaumu Mungu kwakuwa umemweka katika kipimo , ili utoke kwenye hili Jifunze kumjua Mungu kama Roho isiyoonekana anza kwenye kitabu cha Yohana 4:24, Wakolosai 1:17Kwa nini mungu alimruhushu shetani kuja duniani?
Sijali kama ni kama mtu, roho, nafsi au chochote kila. Kama anaweza kuzuia mateso halafu hayazuii basi kumtetea ni kazi ngumu sana inayohitaji mental gymnastics za kila aina Ile ku reconcile hizo contradictions.Yoda usimtafsiri Mungu kama mtu hata kwenye iyo heading utaishia kumlaumu Mungu kwakuwa umemweka katika kipimo , ili utoke kwenye hili Jifunze kumjua Mungu kama Roho isiyoonekana anza kwenye kitabu cha Yohana 4:24, Wakolosai 1:17
The way utakavyodefine wewe utarudi palepale mimi niliwahi kumuuliza mhindi mmoja kwanini wanaabudu ng'ombe ? Alijibu kuwa wananuiya sio ng'ombe tuu hata jiwe anaweza kuabudiwa kunuiya kama jambo lake litatimia,kuhusu Mungu alisema hajui kama kuna Mungu japo anaamini ipo super power inayotawala vitu vyote nilimjibu tuu iyo super power ndio Mungu mwenyewe.Sijali kama ni kama mtu, roho, nafsi au chochote kila. Kama anaweza kuzuia mateso halafu hayazuii basi kumtetea ni kazi ngumu sana inayohitaji mental gymnastics za kila aina Ile ku reconcile hizo contradictions.
Halafu ulitumia vigezo gani kuamua mungu wako ni wa Biblia na sio Allah wa Quran au Brahma, Vishnu na Shiva??