Kumtetea Mungu ni kazi sana!

Mwanadamu anawezaje kumuumba MUNGU!
 
Asili ya mungu ni nini na wapi ?
 
Kwani huko middle east kwa Allah majanga hayatokeagi?
 
Na ulimwengu asili yake ni mwanzo
Kila kitu ni mwanzo na chanzo cha mambo yote ni roho,vitabu vya dini vipo kwenye maana moja isipokuwa vya kisayansi,waweza kujifunza kuhusu Mungu kwa namna unayotaka wewe naye atakuonyesha ukuu wake
 
Kama anajua mahitaji hakuna haja ya kumuomba.
Kama ameshapanga na anajua kila kitu basi maombi hayabadilishi chochote.
Yesu alipokaribia kuhukumiwa aliomba,kuomba ni mawasiliano ni mazungumzo bayana ya mtoto na baba yake,kuna andiko linasema njoo tusemezane ulete haja zako nk hapo ni anakusihi kuwa yeye Mungu baba yupo muda wote kutusikiliza
 
Mababa wanaojielewa huwa hawasubirii kuombwa chakula, mavazi, ada na mahitaji mengine na watoto wao.
 
Mwanadamu ni mfano wa MUNGU!
Hapana, mungu ndio ameumbwa kwa mfano wa mwanadamu ndio maana wakampa macho, mdomo, mikono, miguu na tabia zote za mwanadamu kama hasira, kiburi, wivu, tamaa, kuchoka nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…