Kumtukana Rais Samia hadharani ni uhaini

Kuna jambo tunashindwa kuelewana.Utumiaji wa maneno na uchaguzi wa sehemu ya matumizi ni changamoto.Kuna maneno mimi nayatumia kwa ukawaida wake Ila wewe utadhani ni vinginevyo.
 
Naona leo chawa mmemwaga huku mitandaoni na wote mna uzi wenye maudhui sawa! Mlipaswa kujitokeza wakati viongozi wa nchi hii wanapatikana kwa kupora chaguzi zetu. Mnaingia madarakani kwa njia chafu kuliko matusi, kisha mnataka heshima baada ya kupora chaguzi.
 
WIvu na udini ndio unawasumbua baadhi ya watu..wala tusizunguke!
Wivu wa cheo cha urais wa Tanzania kwani ni urais wa Marekani? Udini kwani hiyo bandari inauzwa ili iletwe dini gani?
 
Mangungo alikuwa na akilii zaidiii nadhani unaweza kuelewa sasa tatizo lilivyokuwa kubwaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ni kawaida si mmekataza watu kuandamana.
 
Kwangu Mimi ninapowaona Watu wanatoa hoja mpaka mishipa ya shingo inawashupaa na povu kibao huku wakichomekea matusi hata kama nilikuwa nawaamini naanza kuwachukia mno sijui kwanini namchukia anayefokafoka napenda mtu anayetema madini bila kuonesha jazba inawezekana wapo wengi wa aina yangu.
Jengeni hoja jameni tunazo akili za kuchambua mambo mazuri na mabaya msilazimishe mnacho amini nyie lazima kipite. Acheni kumshupali MTU, kumtusi,kudhalilisha naamini dhambi hizo hazita waacha bure zitawarudia kwa kiwango hichohicho.
 
Hata mamaako alitukanwa labour akiwa anakuzaa wewe, kutukanwa ni kawaida.
Au ulizaliwa machakani huko?

 
Huyu Mzanzibari masauno, anapotoa vitisho kwa waTanganyika wanaotetea rasilimali zao, NI haini namba moja, Mmenifahamu.
 
Tumeshasema huo mkataba hatuutaki na sasa tupo tayari kwa lolote
 
Tatizo liko hapo.
 
Mleta mada NI mrupukaji, sijui labda anajua JF ni ya kama anavyofikiria yeye tu au labda ni ya watu wasiijielewa upstairs au labda kujipendekeza kwa bi mkubwa?🙄🤔
Anaanzisha kitu ambazi hata yeye mwenyewe ajui hilo alichokitamka ni nini hasa! Asante kwa kumtafsiria nini maana ya UHAINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…