Kumtukana Rais Samia hadharani ni uhaini

Kuuza nchii bure milele ndio uhaini wenyewe huo.
 
Sikunyingine uwe unataja ama kutoa mfano wa hayo unayoita matusi mkuu.
 
mama ni wakati wa kuwanyosha kidogo chadema naona wanakosa nidhamu kwa mbali
 
Yeye alipowaita watu Stupid wakati akitoa maoni yake sio uhaini?
 
Jamani tulieni kama maji ya mtungi maana kipindi tunalalamika kutukaniwa Dkt Magufuli tena matusi magumu ya kudhalilisha tena ktk hali yake ya umauti tukimuomba rais Dkt Samia akemee wala yeye aliona sawa na alizidi kukolezea, na kwa hali ilivyo bado na atatukanwa sana na siku akiondoka madarakani hayo matusi atakoma atadharilishwa sana tena hatakuwa na raha ya kuishi mpaka kifo chake kwa sababu matusi aliyotukanwa Marehemu Dkt Magufuli yanaendelea kuwa chanzo cha chuki ya Dkt Samia ktk uongozi wake. Kibaya mpaka sasa kesha chelewa mno na kibaya keshayakoroga kwa kuleta mambo mengi kiasi kwamba mpaka sasa Dkt Samia haeleweki.
 
Wewe msenggggge siku mtawaliwa anakua mtawala utakatwa huo mkkkhundu
 
Mods unganisheni huu uzi na ule wa faizafoxy.
 
Tstixo lenu hamjui tofsuti ksti ya tusi na mtu kuambiwa ukweli.
 
Ndugu mtoa mada wewe ni KE au ME?
 
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…