Kumu 'ignore' dereva wa Lissu lilikuwa kosa kubwa sana la 'watu wasiojulikana'

Acha roho mbaya wewe, kwa hiyo ulitaka dereva auawe. Sheeeesh!!!
 

Wewe mbona unaonekana kama bwege? Dakika 20 hawakufanya kitu? hiyo kupanga, kulaza viti, kuwatumia msg watu wengine kuwa kuna watu wanawafuatilia, ni kukaa kimya? Unachotakiwa pia kufahamu ni kuwa TL amekuwa anafuatiliwa mara nyingi lakini hakuna wakati aliporushiwa risasi. Sidhani kama ilikuwa rahisi kufikiria kuwa wangepigwa risasi pale, kwenye eneo la nyumba za viongozi na tena mchana. Kama wangelifikiria hilo nina imani wangefanya kitu.
 
Hivi, wabunge huwa hawana silaha??
Wajifunze sasa hivi. Sema serikali ya Ccm itawanyima wapinzani
 
Unaaminije hili liziro serial killer ni form four leaver na sio level zingine kama primary, madrasa na kadhalika?
 
Reactions: SDG

Inasemekana Mwenye Chuki aliomba amuue lissu kwa mikono yake mwenyewe.Wiki moja kabla ya tukio alikuwa anafundishwa kulenga shabaha

Wakati wa tukio risasi zake hamna hata moja iliyomdhuru lissu maana alikuwa anazirusha ovyo ovyo .Waliokuwa nae kwenye gari walipoona anamaliza risasi tu anakosa shabaha ikabidi wamsaidie mpaka wakafanikisha lengo lao ovu
 
Sijaamini kama ni wewe au msichana wa kazi ametoa hii comment.
Ila kwakuwa ni Sunday ~ drinking day you know!
Ntakuacha mpaka kesho nikusikie tena.
 
Sijaamini kama ni wewe au msichana wa kazi ametoa hii comment.
Ila kwakuwa ni Sunday ~ drinking day you know!
Ntakuacha mpaka kesho nikusikie tena.

Ila Mkuu sasa ilikuwaje pamoja na kupiga zile risasi zote sijui 28 hadi 32 lakini ' Kipenzi ' chetu bado yu hai huko Nairobi? Sasa nimeamini kuwa ' albadiri ' huwa haimuachi Mtu salama na tuliambiwa kuwa tutaanza kuona dalili na ' Wasiojulikana ' wenyewe wataanza kujihisi, kujitokeza na kuanza kutoa Siri zao na uzoefu wao hasa wa Kimedani za Kimafia.
 
Duuuh, yamekuwa hayo tena!
 
Still you are of the same thinking kama jana au upo sober leo?
 

Kuwa shahidi muhimu hilo halina ubishi. Na unaonekana unamtaja dereva kama shahidi anayepaswa kuhojiwa kwa vitisho na sio weledi ili kuficha dhahama. Unasema dk 20 bila kutuma text nk. Je dk 20 kwako ni nyingi kuliko zile wiki za nyuma Lissu aliposema anafuatiliwa na hakuna hatua yoyote? Kama unachosema ni sawa ni hatua gani kachukuliwa aliyemtolea Nape bastola hadharani? Kwa hili la Lissu mmevuka mipaka, suala ka vitisho vya kishamba kwa dereva ni upuuzi mtupu.
 
Naona kama vile unawashauri ili siku nyingine wasikosee!!! Ni kama vile unasikitika kwa kosa walilofanya...la kumkosa!!!!

Pole, ndio mambo ya Mungu.
Ni funzo kwa wasomaji pia kuwa na uwezo wa kudect mambo na kuamua kwa haraka sana.
Kuna masuala hata ukiwa mfatiliaji wa series za kiintelijensia unajifunza.Kuna mambo ya kujilinda nayo na wala si ya kutumia nguvu.
Sasa Lissu alishapata kunena "Anafatiliwa" lazima dereva wake alikuwa makini kwa kila gari lililo nyuma yake kwa muda mrefu.
Ina maana pia alikuwa makini na kila mtu aliyemuwekea mashaka,haya wala hayahitaji uende MBWENI.
Sote tuwe makini sisi wenyewe kwanza nadhan kuna uzi wa "MAKINI" wa mshana jr jaribu kuusaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…