Kumu 'ignore' dereva wa Lissu lilikuwa kosa kubwa sana la 'watu wasiojulikana'


Tatizo hata wangeiplan ulivyoielezea,walijiulize je wana the same PLAN na aliyemuumba??Maana angekuja Malika kuwa tungua waliokuwa wanatarget kutungua kabla hawajatungua wakatunduliwa na mission ikafa wakatoka nduki.

First PLAN wangeplan na Mungu kama wanaohuo ubavu
 

Unauhakika hawakupiga simu wala kutext meseji??Pole sana,mlilolitegemea halikuwa.

T-shirt za Pra4Lissu ni zaidi ya SMG
 
duh ngj nirefresh nione sijauona huo uzi mie nilishastuka siku ya tukio kushika vile nguo !ah chadema hebu amken jaman
Hawawezi kuamka,wameshakua brain washed!,kuna vitu vinapangwa kwa ustadi mkubwa sana
 
Unauhakika hawakupiga simu wala kutext meseji??Pole sana,mlilolitegemea halikuwa.

T-shirt za Pra4Lissu ni zaidi ya SMG

Tunajadili aliyozungumza Dereva sio yaliyokuwa kwenye Kichwa chako
 
Oh yes paul,supervisor ana zero si mwingine ni bashite
 

Movie imekwisha
 
Tunajadili aliyozungumza Dereva sio yaliyokuwa kwenye Kichwa chako

Nimekuuliza swali hujajibu swali umekuwa mkali kama umemeza pilipili MBUZI.

Anyway pole sana ungejibu swali langu labda ingesaidi.

T-SHirt pray4Lissu ni mwiba kwa Serikali ya CCM,UVCCM na Policcm yake
 
Mada hii inaonyesha wabongo tulivyo wapenzi wa matukio. Najua wengi kweli tukio hili limewasikitisha lakini kwa ndani mnatamani kama lisipoe vile. Labda kwa kuogopa kuangaliwa vibaya tu lakini mngetamani matukio kama haya labda yasikauke ili tupate political wind into our sails. Siasa za matukio sio endelevu. Na ndio maana ni wachache tu walimuelewa Rais JK aliposema," Ni upepo tu utapita".
 
Bwege ni Wewe unaejifanya una uhakika 100% kuwa Dereva hahusiki,
Kama Mliwahi kutuaminisha humu kuwa Mlinzi wa Slaa alikuwa anatumika kwny Mipango ya kumdhuru Slaa wakati ule kwanini ukimbilie kumtetea Dereva kwa nguvu zote, Kama Mtoto anaweza kushiriki Mipango ya kumdhuru Baba yake kwanini ujipe uhakika wa 100% kuwa Dereva hahusiki?

Princess Diana alikufa katika ajali mbaya sana na Dereva akajeruhiwa lakin baada ya uchunguzi ikagundulika na Dereva alihusika na ile ajali kwny kuitengeneza
 
Mmh! Nchi hii ina wataalamu wa mambo mengi. Naona kama ni mimi tu ndio nimekaa kibwege bwege.
"Comment" yako imenifanya nicheke asubuhi.
Nadhani niko na wewe, unaonaje na sisi tukaanza kujikita ili tuwe wataalamu na sisi. Huu "ubwege" unaweza kutuponza.
Nitafurahi kujua kama uko tayari.
 
Kiongozi wa watekaji na wauwaji ni Makonda aliepata zero, unategemea nini?, Mfano kitendo cha makonda kusema siku ya Roma kuonekana, inaonesha namna gani usalama unavyoendeshwa na Makonda
 
"Comment" yako imenifanya nicheke asubuhi.
Nadhani niko na wewe, unaonaje na sisi tukaanza kujikita ili tuwe wataalamu na sisi. Huu "ubwege" unaweza kutuponza.
Nitafurahi kujua kama uko tayari.
Hahaha! Niko tayari mkuu maana siku hizi hali si hali sasa sisi tusiokuwa na mbinu na mafunzo ya akina Van Damme tutamalizwa mara 1.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] zero toka la saba hiyo itakuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…