The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Ndugu wanabodi kuna msemo wa Wana kusini uliozoeleka, nanukuu "ukitema nchale ukimeza nchale"
Ukiacha huo kuna mzee aliwahi kusema ukiona mkono umenyoshwa Kutoka gizani usiukate.
Kwa misemo hii miwili naona inasadifu kinachoendelea ndani ya CCM kuhusu sakata la Ndugai.
Ni kweli kuwa mheshiwa rais kwa kuwa mwenyekiti wa CCM anao uwezo na nguvu ya kushawishi Ndugai ang'olewe na kiukweli inawezekana.
Kuondolewa kwa Ndugai kutamaanisha rais kupata mtu atakae fanya nae kazi bila kinyongo. Ndio faida pekee ya kumtoa Ndugai.
Kwa upande mwingine kabla hajasherekea kutolewa kwa Ndugai, ni muhimu kujiuliza hizi tuhuma za Ndugai zina uzito gani mbele ya jamii.
Lakini lazima kujiuliza ni Ndugai pekee mwenye mtazamo huo, au ni mwakilishi tu wa kundi kubwa ambalo halimuelewi mama!?
Maana kama hauna majibu ya uhakika ni heri kumuacha uvizie tuhuma zingine, au umtengenezee mazingira ya kuchafuka ili akimbiwe na waunga mkono.