Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Spika kuendela kuwepo ni kuwa na dola inayolia mlio wa noki. Hujui lini itasieze.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna haja ya kumg'oaNdugu wanabodi kuna msemo wa Wana kusini uliozoeleka, nanukuu "ukitema nchale ukimeza nchale"
Ukiacha huo kuna mzee aliwahi kusema ukiona mkono umenyoshwa Kutoka gizani usiukate.
Kwa misemo hii miwili naona inasadifu kinachoendelea ndani ya CCM kuhusu sakata la Ndugai.
Ni kweli kuwa mheshiwa rais kwa kuwa mwenyekiti wa CCM anao uwezo na nguvu ya kushawishi Ndugai ang'olewe na kiukweli inawezekana.
Kuondolewa kwa Ndugai kutamaanisha rais kupata mtu atakae fanya nae kazi bila kinyongo. Ndio faida pekee ya kumtoa Ndugai.
Kwa upande mwingine kabla hajasherekea kutolewa kwa Ndugai, ni muhimu kujiuliza hizi tuhuma za Ndugai zina uzito gani mbele ya jamii.
Lakini lazima kujiuliza ni Ndugai pekee mwenye mtazamo huo, au ni mwakilishi tu wa kundi kubwa ambalo halimuelewi mama!?
Maana kama hauna majibu ya uhakika ni heri kumuacha uvizie tuhuma zingine, au umtengenezee mazingira ya kuchafuka ili akimbiwe na waunga mkono.
Ndungai ni wa kutupa huko mbali sana, hana faida yoyote na amelifanya bunge kuwa kituko na dhaifu. Mama hawezi kuishi na nyokaNdugu wanabodi kuna msemo wa Wana kusini uliozoeleka, nanukuu "ukitema nchale ukimeza nchale"
Ukiacha huo kuna mzee aliwahi kusema ukiona mkono umenyoshwa Kutoka gizani usiukate.
Kwa misemo hii miwili naona inasadifu kinachoendelea ndani ya CCM kuhusu sakata la Ndugai.
Ni kweli kuwa mheshiwa rais kwa kuwa mwenyekiti wa CCM anao uwezo na nguvu ya kushawishi Ndugai ang'olewe na kiukweli inawezekana.
Kuondolewa kwa Ndugai kutamaanisha rais kupata mtu atakae fanya nae kazi bila kinyongo. Ndio faida pekee ya kumtoa Ndugai.
Kwa upande mwingine kabla hajasherekea kutolewa kwa Ndugai, ni muhimu kujiuliza hizi tuhuma za Ndugai zina uzito gani mbele ya jamii.
Lakini lazima kujiuliza ni Ndugai pekee mwenye mtazamo huo, au ni mwakilishi tu wa kundi kubwa ambalo halimuelewi mama!?
Maana kama hauna majibu ya uhakika ni heri kumuacha uvizie tuhuma zingine, au umtengenezee mazingira ya kuchafuka ili akimbiwe na waunga mkono.
Ndugu wanabodi kuna msemo wa Wana kusini uliozoeleka, nanukuu "ukitema nchale ukimeza nchale"
Ukiacha huo kuna mzee aliwahi kusema ukiona mkono umenyoshwa Kutoka gizani usiukate.
Kwa misemo hii miwili naona inasadifu kinachoendelea ndani ya CCM kuhusu sakata la Ndugai.
Ni kweli kuwa mheshiwa rais kwa kuwa mwenyekiti wa CCM anao uwezo na nguvu ya kushawishi Ndugai ang'olewe na kiukweli inawezekana.
Kuondolewa kwa Ndugai kutamaanisha rais kupata mtu atakae fanya nae kazi bila kinyongo. Ndio faida pekee ya kumtoa Ndugai.
Kwa upande mwingine kabla hajasherekea kutolewa kwa Ndugai, ni muhimu kujiuliza hizi tuhuma za Ndugai zina uzito gani mbele ya jamii.
Lakini lazima kujiuliza ni Ndugai pekee mwenye mtazamo huo, au ni mwakilishi tu wa kundi kubwa ambalo halimuelewi mama!?
Maana kama hauna majibu ya uhakika ni heri kumuacha uvizie tuhuma zingine, au umtengenezee mazingira ya kuchafuka ili akimbiwe na waunga mkono.
Ukitaka kumuua Mbwa mpe kwanza jina baya.Nimeipenda hii ya kumvizia au kumchafua kwanza
Yakuwakumbatia wabunge ambao hawana chama hiyo sio tuhuma/shutuma??Anaweza kuondoka lakini tuhuma/shutuma za kumtoa ni dhaifu sana
Tatizo sio alitolewa nani tatizo ni sababu za kumtoa na fukuto la siasa lililopo jumlisha na nani mtu wa kutuluza Hali ikichafuka. Maana sote tunajua hao wengine walitimuliwa chama kikiwa na watu wenye moral authority ya kukemea na pakatulia kimyaAlitolewa kolimba kuwa KM CCM kipindi cha Chama kimoja na hali ikawa shwari
Alitolewa Aboud Jumbe Rais wa Zanzibar na Makamu wa Rais na hakuna shida iliyotokea ndo sembuse Ndugai?
Soma historia ya hii nchi wewe
Tatizo sio alitolewa nani tatizo ni sababu za kumtoa na fukuto la siasa lililopo jumlisha na nani mtu wa kutuluza Hali ikichafuka. Maana sote tunajua hao wengine walitimuliwa chama kikiwa na watu wenye moral authority ya kukemea na pakatulia kimya
Ndungai anatolewa na hakuna wa kuchafua hali ya hewa. Sababu za kumtoa Ndugai ni nyingi mno. Hata ile ya Covid-19 nayo ni sababuTatizo sio alitolewa nani tatizo ni sababu za kumtoa na fukuto la siasa lililopo jumlisha na nani mtu wa kutuluza Hali ikichafuka. Maana sote tunajua hao wengine walitimuliwa chama kikiwa na watu wenye moral authority ya kukemea na pakatulia kimya
There is always freedom of speech but we are unsure of the freedom after speech[emoji28]
Sasa hilo ni kosa? Kwa sheria ipi?Kumuacha ndo tatizo. Ameropoka sana na kuhusisha uchaguzi wa 2025.
Unazungumzia G 55 wakati huo mwalimu alikuwepo ndiye alitumika kutuliza Hali cha kuomba tu sasa hivi Ndugai asiungwe mkono!Kuna fukuto zaidi saivi la kulizidi la G 55? Vijana wa juzi someni historia?
Kwa Katiba na Sheria hapa Tanzania Hakuna wa kumtetemesha Rais!
Kama hujui kwa Tanzania Rais ni Mkuu wa Serikali , Mkuu wa Nchi na Amir Jeshi Mkuu
Ukijua maana ya hivi vitu vitatu hutapata shida kufahamu kuwa hapa Tanzania Hakuna wa kumtisha Rais zaidi ya Mungu
Unazungumzia G 55 wakati huo mwalimu alikuwepo ndiye alitumika kutuliza Hali cha kuomba tu sasa hivi Ndugai asiungwe mkono!
Never say never...Hapana mkuuu... Hii nchi mpaka tunaingia kaburini hakuna kitu kitawahi kubadilika.
Anaweza akawa vyovyote kikatiba lakini nguvu yake inategemea mshikamano ndani ya chama na serikali pia. Nguvu ya raisi hutegemezwa na umoja na mshikamano sio tu mabavu ya kikatibaSoma Katiba Rais wa Tanzania ni nani alafu urudi hapa
It will never happenSiyo kuondolewa tu kwenye Spika hata chama anaweza kufukuzwa ukawa mwisho wa ubunge wake ameonekana tatizo kwenye Chama
Ndio maana kwenye hoja yangu nimesema aidha wamvizie mahali fulani akiteleza au wamchafue kwa kutengeneza skendo.Ndungai anatolewa na hakuna wa kuchafua hali ya hewa. Sababu za kumtoa Ndugai ni nyingi mno. Hata ile ya Covid-19 nayo ni sababu
Na kweli ningekuwa mshauri wa Mh Rais ningemwambia najua ccm hawaitaki katiba mpya kwasababu ni msumari wa moto,dawa ni kuwapatia wananchi KATIBA MPYA hapo angeacha LEGACY isiyofutika mileleHuenda Mungu katufanyia njia ya kupata Katiba mpya ,
Wewe kama sio ndugai mwenyewe basi ni ndugu yake au utakuwa una maslahi fulani fulani na Ndungai maana si kwa huu utetezi. Usipoteze muda kaka Ndungai lazima wamkiki out na hana hao wafuasi unaofikilia anaoUnazungumzia G 55 wakati huo mwalimu alikuwepo ndiye alitumika kutuliza Hali cha kuomba tu sasa hivi Ndugai asiungwe mkono!