The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
- Thread starter
- #41
Yakuwakumbatia wabunge ambao hawana chama hiyo sio tuhuma/shutuma
Kwani we hujui kwamba kuwakumbatia wale wabunge ni kwa manufaa mapana ya ccm? Ikiwa kuwakumbatia wale wabunge kutasaidia kuuchafua upinzani kwa mwanaccm yeyote hiyo sio shida.Ndungai anatolewa na hakuna wa kuchafua hali ya hewa. Sababu za kumtoa Ndugai ni nyingi mno. Hata ile ya Covid-19 nayo ni sababu
Labda kama wataamua kumshughukia kisha wakakosa sababu zingine zote Basi hata hii itawafaa ingawa ina makengeza maana hajaanza leo kuwakumbatia hao na haikuwa kwa siri walikuwa wapi siku zote.