Kumuacha Spika Ndugai ni tatizo lakini pia kumng'oa laweza kuwa tatizo zaidi

Hakuna haja ya kumg'oa
 
Ndungai ni wa kutupa huko mbali sana, hana faida yoyote na amelifanya bunge kuwa kituko na dhaifu. Mama hawezi kuishi na nyoka
 
Alitolewa kolimba kuwa KM CCM kipindi cha Chama kimoja na hali ikawa shwari

Alitolewa Aboud Jumbe Rais wa Zanzibar na Makamu wa Rais na hakuna shida iliyotokea ndo sembuse Ndugai?

Soma historia ya hii nchi wewe
 
Tatizo sio alitolewa nani tatizo ni sababu za kumtoa na fukuto la siasa lililopo jumlisha na nani mtu wa kutuluza Hali ikichafuka. Maana sote tunajua hao wengine walitimuliwa chama kikiwa na watu wenye moral authority ya kukemea na pakatulia kimya
 
Kuna fukuto zaidi saivi la kulizidi la G 55? Vijana wa juzi someni historia?

Kwa Katiba na Sheria hapa Tanzania Hakuna wa kumtetemesha Rais!

Kama hujui kwa Tanzania Rais ni Mkuu wa Serikali , Mkuu wa Nchi na Amir Jeshi Mkuu

Ukijua maana ya hivi vitu vitatu hutapata shida kufahamu kuwa hapa Tanzania Hakuna wa kumtisha Rais zaidi ya Mungu
Tatizo sio alitolewa nani tatizo ni sababu za kumtoa na fukuto la siasa lililopo jumlisha na nani mtu wa kutuluza Hali ikichafuka. Maana sote tunajua hao wengine walitimuliwa chama kikiwa na watu wenye moral authority ya kukemea na pakatulia kimya
 
Tatizo sio alitolewa nani tatizo ni sababu za kumtoa na fukuto la siasa lililopo jumlisha na nani mtu wa kutuluza Hali ikichafuka. Maana sote tunajua hao wengine walitimuliwa chama kikiwa na watu wenye moral authority ya kukemea na pakatulia kimya
Ndungai anatolewa na hakuna wa kuchafua hali ya hewa. Sababu za kumtoa Ndugai ni nyingi mno. Hata ile ya Covid-19 nayo ni sababu
 
Unazungumzia G 55 wakati huo mwalimu alikuwepo ndiye alitumika kutuliza Hali cha kuomba tu sasa hivi Ndugai asiungwe mkono!
 
Soma Katiba Rais wa Tanzania ni nani alafu urudi hapa
Anaweza akawa vyovyote kikatiba lakini nguvu yake inategemea mshikamano ndani ya chama na serikali pia. Nguvu ya raisi hutegemezwa na umoja na mshikamano sio tu mabavu ya kikatiba
 
Ndungai anatolewa na hakuna wa kuchafua hali ya hewa. Sababu za kumtoa Ndugai ni nyingi mno. Hata ile ya Covid-19 nayo ni sababu
Ndio maana kwenye hoja yangu nimesema aidha wamvizie mahali fulani akiteleza au wamchafue kwa kutengeneza skendo.

Na niwe mkweli huyu mheshimiwa ccm imemlea na kumfuga kwa tabia zake za ajabuajabu ila kwa kuwa alikuwa hajagonga penyewe ndio walikuwa wanamchekea ila sasa kapiga penyewe ndio wamejua inavyouma ndio maana naona inatakiwa wawe wapole.
 
Huenda Mungu katufanyia njia ya kupata Katiba mpya ,
Na kweli ningekuwa mshauri wa Mh Rais ningemwambia najua ccm hawaitaki katiba mpya kwasababu ni msumari wa moto,dawa ni kuwapatia wananchi KATIBA MPYA hapo angeacha LEGACY isiyofutika milele
 
Unazungumzia G 55 wakati huo mwalimu alikuwepo ndiye alitumika kutuliza Hali cha kuomba tu sasa hivi Ndugai asiungwe mkono!
Wewe kama sio ndugai mwenyewe basi ni ndugu yake au utakuwa una maslahi fulani fulani na Ndungai maana si kwa huu utetezi. Usipoteze muda kaka Ndungai lazima wamkiki out na hana hao wafuasi unaofikilia anao
 
Kama chama kikamuacha Ngugai akaendelea kuwepo, atakuwa spika picha tu, na hapo ingekuwa nchi nyingine wananchi wangemuomba aondoke maana ameshakuwa compromized.... Yaani hataweza kuongoza tena kwa weledi. Au unaonaje ndugu yangu Pascal Mayalla ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…