Yasiyotarajiwa, (uncertainty) husababishwa na mambo makuu matatiInahitaji akili ya ziada kung'amua kuwa alichokisema na anachokifanya Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ni "high level propaganda" yenye nia ya kuwalinda wale wale anaoonekana kuwatuhumu.
Mara ngapi inapotokea hali fulani ambayo haina taswira nzuri kwa serikali unasikia mtu anasema "Rais kuna watu wako wa karibu wanakuchafua" na maneno kama hayo. Hapa nia ni kumuondoa Rais na lawama za kile ambacho watu hawapendezwi nacho bila kumuwajibisha. Hiki hakina tofauti na alichokifanya Gwajima.
Kusema kuna kakikundi kanakojitegemea kanakofanya utekaji halafu unasema hakihusiani na vyombo vya UNU ni njia ya kuwatakasa wahusika na kuwaondoa katika lawama ya kile kinachoendelea.
Niliwahi kusema CCM walichoamua kufanya muda mrefu uliopita ili kusalia madarakani ni kuhakikisha wapo kila upande wa shilingi katika mada yoyote, nyanja yoyote na sekta yoyote. Watakuwa CCM lakini pia watakuwa vyama vya upinzani. Watakuwa Yanga lakini pia watakuwa Simba. Watammiliki Diamond lakini pia watammiliki Alikiba. Wataongoza serikali lakini pia wataongoza vyama vya wafanyakazi. Wanahakikisha wanaopingana ni watu wao wenyewe. Hata pale yanapoonekana mabishano na ushindani ni mkali, hii inakuwa rahisi ku "control outcome". Kama suala linaenda "out of control", wanatumia watu hao hao kulimaliza na chama kinabaki salama.
Hiki ndicho kinachotokea kwa Gwajima.
Watu wasiojulikana wametakaswa na wataendelea kutojulikana. Kazi yao inataka wasijulikane, kuna nini cha ajabu?
Jibuni hoja zake na acheni kuua watz wenzenuInahitaji akili ya ziada kung'amua kuwa alichokisema na anachokifanya Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ni "high level propaganda" yenye nia ya kuwalinda wale wale anaoonekana kuwatuhumu.
Mara ngapi inapotokea hali fulani ambayo haina taswira nzuri kwa serikali unasikia mtu anasema "Rais kuna watu wako wa karibu wanakuchafua" na maneno kama hayo. Hapa nia ni kumuondoa Rais na lawama za kile ambacho watu hawapendezwi nacho bila kumuwajibisha. Hiki hakina tofauti na alichokifanya Gwajima.
Kusema kuna kakikundi kanakojitegemea kanakofanya utekaji halafu unasema hakihusiani na vyombo husika ni njia ya kuwatakasa wahusika na kuwaondoa katika lawama ya kile kinachoendelea.
Niliwahi kusema CCM walichoamua kufanya muda mrefu uliopita ili kusalia madarakani ni kuhakikisha wapo kila upande wa shilingi katika mada yoyote, nyanja yoyote na sekta yoyote. Watakuwa CCM lakini pia watakuwa vyama vya upinzani. Watakuwa Yanga lakini pia watakuwa Simba. Watammiliki Diamond lakini pia watammiliki Alikiba. Wataongoza serikali lakini pia wataongoza vyama vya wafanyakazi. Wanahakikisha wanaopingana ni watu wao wenyewe. Hata pale yanapoonekana mabishano na ushindani ni mkali, hii inakuwa rahisi ku "control outcome". Kama suala linaenda "out of control", wanatumia watu hao hao kulimaliza na chama kinabaki salama.
Hiki ndicho kinachotokea kwa Gwajima.
Watu wasiojulikana wametakaswa na wataendelea kutojulikana. Kazi yao inataka wasijulikane, kuna nini cha ajabu?
Gwajima kaishapata chaka baada ya mishale mingi ya kumtaka asigombee ubunge kutokana na kutofanya lolote katika jimbo 🤣🤣🤣Hakuna binadamu anayeaminika Chini ya Jua 🐼
Gwajima anatumika tu. Wanajua Watanzania wanamsubiri na kumtafuta "hero" atakayewatetea. Ukiona mtu nchi hii anaongea maneno makali halafu haguswi jua hamna kitu hapo, labda mpaka reforms ikamilike, niamini nakwambia.Gwajima kaishapata chaka baada ya mishale mingi ya kumtaka asigombee ubunge kutokana na kutofanya lolote katika jimbo 🤣🤣🤣
Yasiyotarajiwa, (uncertainty) husababishwa na mambo makuu matati
1. Taarifa
2. Majanga
3. Binadamu
Taarifa,
uwezo mdogo wa kutasfsiri taarifa unaweza kukusababishia changamoto ama yasiyotarajiwa pia unaweza ukawa na uwezo mzuri wa kutasfsiri taarifa lakini kama huna uwezo wa kuchukua hatua kwa wakati itakusababishia changamoto
Angalizo uwezo mdogo wa kutasfsiri taarifa unaweza pia wapotasha watu ama kuleta na kuendeleza majanga kwenye jamii
Majanga Yako ya aina mbili ya Kimungu na kibinadamu kwenye majanga huwezi kuchomoka unakabikiana, unatakiwa uwe na elimu ya kuweza kukabiliana nayo
Binadamu anaweza kujisababishia changamoto kwasababu ya ujinga, uvivu, ulevi, uzembe, ushamba, upumbavu, ubunifu na uroho wa madaraka
Binadamu huyo huyo anaweza kuwasabishia wengine changamoto kwa bahati mbaya ama kwa makusudi mfano hai watu wasiojulikana
Hitimisho, Yasiyotarajiwa yaliyo mengi na changamoto nyingi tunazo kabiliana nazo vyote kwa pamoja husababishwa na binadamu
Rudieni tena kusoma hoja iliyoko mezani.Jibuni hoja zake na acheni kuua watz wenzenu
Soma kuhusu 'social inferences''Rudieni tena kusoma hoja iliyoko mezani.
Inahitaji akili ya ziada kung'amua kuwa alichokisema na anachokifanya Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ni "high level propaganda" yenye nia ya kuwalinda wale wale anaoonekana kuwatuhumu.
Mara ngapi inapotokea hali fulani ambayo haina taswira nzuri kwa serikali unasikia mtu anasema "Rais kuna watu wako wa karibu wanakuchafua" na maneno kama hayo. Hapa nia ni kumuondoa Rais na lawama za kile ambacho watu hawapendezwi nacho bila kumuwajibisha. Hiki hakina tofauti na alichokifanya Gwajima.
Kusema kuna kakikundi kanakojitegemea kanakofanya utekaji halafu unasema hakihusiani na vyombo husika ni njia ya kuwatakasa wahusika na kuwaondoa katika lawama ya kile kinachoendelea.
Niliwahi kusema CCM walichoamua kufanya muda mrefu uliopita ili kusalia madarakani ni kuhakikisha wapo kila upande wa shilingi katika mada yoyote, nyanja yoyote na sekta yoyote. Watakuwa CCM lakini pia watakuwa vyama vya upinzani. Watakuwa Yanga lakini pia watakuwa Simba. Watammiliki Diamond lakini pia watammiliki Alikiba. Wataongoza serikali lakini pia wataongoza vyama vya wafanyakazi. Wanahakikisha wanaopingana ni watu wao wenyewe. Hata pale yanapoonekana mabishano na ushindani ni mkali, hii inakuwa rahisi ku "control outcome". Kama suala linaenda "out of control", wanatumia watu hao hao kulimaliza na chama kinabaki salama.
Hiki ndicho kinachotokea kwa Gwajima.
Watu wasiojulikana wametakaswa na wataendelea kutojulikana. Kazi yao inataka wasijulikane, kuna nini cha ajabu?
Watekaji wameongeza na kubaka ama kulawiti, eti hawaogopi ukimwi..Ccm watakuwepo ktk utekaji, watakuwepo ktk kupinga utekaji, lakini hawakuwepo ktk kuchukua hatua dhdi ya watekaji. Gwajima anataka utekaji na mauaji ya kisiasa yakomeshwe.
Ningependa sana nimuamini Gwajima ila naamini mwenendo ni ule ule. Wameamua kuwahi kuweka mtu upande wa pili wa sakata hili kwa kukemea, dhamira ikiwa ile ile kucontrol narrative na outcome ya baadae ya suala hili zima...Ccm watakuwepo ktk utekaji, watakuwepo ktk kupinga utekaji, lakini hawakuwepo ktk kuchukua hatua dhdi ya watekaji. Gwajima anataka utekaji na mauaji ya kisiasa yakomeshwe.
Wasiojulikana wamepewa haki ya kutoshtakiwa 2023. Huu ulikuwa mkakati maalum wa kuvilinda hivi vikundi kwa utekaji na kuviweka ndani ya sheria.Inahitaji akili ya ziada kung'amua kuwa alichokisema na anachokifanya Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ni "high level propaganda" yenye nia ya kuwalinda wale wale anaoonekana kuwatuhumu.
Mara ngapi inapotokea hali fulani ambayo haina taswira nzuri kwa serikali unasikia mtu anasema "Rais kuna watu wako wa karibu wanakuchafua" na maneno kama hayo. Hapa nia ni kumuondoa Rais na lawama za kile ambacho watu hawapendezwi nacho bila kumuwajibisha. Hiki hakina tofauti na alichokifanya Gwajima.
Kusema kuna kakikundi kanakojitegemea kanakofanya utekaji halafu unasema hakihusiani na vyombo husika ni njia ya kuwatakasa wahusika na kuwaondoa katika lawama ya kile kinachoendelea.
Niliwahi kusema CCM walichoamua kufanya muda mrefu uliopita ili kusalia madarakani ni kuhakikisha wapo kila upande wa shilingi katika mada yoyote, nyanja yoyote na sekta yoyote. Watakuwa CCM lakini pia watakuwa vyama vya upinzani. Watakuwa Yanga lakini pia watakuwa Simba. Watammiliki Diamond lakini pia watammiliki Alikiba. Wataongoza serikali lakini pia wataongoza vyama vya wafanyakazi. Wanahakikisha wanaopingana ni watu wao wenyewe. Hata pale yanapoonekana mabishano na ushindani ni mkali, hii inakuwa rahisi ku "control outcome". Kama suala linaenda "out of control", wanatumia watu hao hao kulimaliza na chama kinabaki salama.
Hiki ndicho kinachotokea kwa Gwajima.
Watu wasiojulikana wametakaswa na wataendelea kutojulikana. Kazi yao inataka wasijulikane, kuna nini cha ajabu?
Mnauziwa matumaini hewa kwa kupitia vibaraka wanaotumwa kuongelea shida, manung'uniko na simanzi zenu. Tatizo lenu ni kutaka wengine wawapiganie bila nyie wenyewe kuingia front na kuonyesha wazi bila chenga kile mnachoamini.ukisema kuwa GWAJIMA hawezi kukununua KISIASA halafu ukawa na UPANDE mwingine wa WANASIASA unaowapigia chepuo ujue nawe umenunuliwa na PROPAGANDA tu za SIASA ..
SIASA ni MCHEZO wanaochezewa MA.FALA,, so wewe ukishajua CODE zao unabaki kama mtazamaji unaangalia jinsi watumwa wanavyosuguliwa vichwa na PROPAGANDA za mabwanyenye, maana ukijifanya mjuaji sana utakalia tango ( muulize fala Boniface Mwangi na demu wake )...
Time will tell....Big "NO..."
Mimi sikubaliani na wewe...
Safari hii tunakwenda kupata majibu, shetani aliyeikalia Tanzania ameshindwa, amepigwaaa....
Mch. Josephat M. Gwajima ni mtumishi wa Mungu na Yesu Kristo kamili na wa kweli. Nimempima kwenye vipimo vya Neno la Mungu, amethitibika, maana imeandikwa "...mtawatambua kwa matendo na matunda yao..."
Huyu:
➡Si Mwalimu wa uongo
➡Si Mchungaji wa uongo
➡Si Nabii wa uongo
➡Si Mtume wa uongo
➡And above all, huyu si tapeli wa kidini kama unavyotaka kutuaminisha hapa.
Rafiki ndugu Keynez, fanya homework yako ya kutafsiri mambo ktk muktadha wa ulimwengu wa roho vizuri...
Na nakuambia jambo moja, kuwa, wakati wa kila mtu kujua ni kwanini huyu mtumishi wa Mungu aliye hai - Mch. Josephat Gwajima aliamua kuingia kwenye siasa na kupata nafasi ya uongozi wa kisiasa (ubunge) tena kupitia chama chenye tuhuma na shutuma za uchafu mwingi - CCM, basi majira ya kupata majibu yake ni sasa....
Mungu Yehova ana njia zake tofauti kabisa na za wanadamu za kufanya mambo yake. Na hutumia watu usioweza kuwadhania ktk kutimiza kusudi lake lolote...
Hata huyu mama (Bi Samia) alifanywa na Mungu mwenyewe Rais wa nchi hii ili aikamilishe njia ya uharibifu wa CCM na kisha ijifie zake...
Haya ndiyo majira na nyakati zake. Ukombozi wa Tanganyika umefika
Ningependa sana nimuamini Gwajima ila naamini mwenendo ni ule ule. Wameamua kuwahi kuweka mtu upande wa pili wa sakata hili kwa kukemea, dhamira ikiwa ile ile kucontrol narrative na outcome ya baadae ya suala hili zima.
Watu wawili wanaweza kusema kitu kile kile ila kama dhamira ni mbili tofauti, hata impact zake zitakuwa tofauti.