Kumuamini mwanamke ni tatizo

Upo sahihi kabisa mkuu wanawake wengi sio waaminifu,,, akiona pesa kdg tu nje anavutika kirahisi
 
Jamaa yetu kaenda masomonj kamuacha mkewe now kapewa mimba anaangaika kuitoa
Huu ni unyanyasaji wa kijinsia pia ubaguzi. Hapa si suala la mwanamke au mwanamme. Ni suala la binadamu simpo mwanangu.
 
Mkuu unahisi ni sawa kusema wanawake wote wana tabia hii, je hujaona wenye tabia nzuri tu na ambao hawawezi kufanya mambo kama hayo? Mtaani kwako hamna hata mmoja?
Wote mna tabia hii sema mnatofautiana tu muda wa kuifanya, kungekua na tarehe maalum ya kuvunja uaminifu hiyo tarehe tungeshuhudia vifo, taraka na watoto wa mitaani wengi, mwanamke anaweza kuwa muaminifu kwa miaka hata 20 kwenye ndoa lakini kale ka DNA ka uharibifu ipo siku katajijoteza tu, ndio maana kwa pamoja tunasema mwanamke sio wa kumuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…