Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Ukifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi.

Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo pia vina grade zake. Kuna vya matokeo ya papo hapo, na vile vya gradually Yaani mdogo mdogo.
 
Najua hizo lakin2 ni sadaka , kwaajili ya ujenzi wa kanisa ambalo linajengwa..

Mi nimesali kwa Kuhani Musa ila sijawahi ingia ofisini kwake...

Nilikuwa naenda ibadani Tena kwa ku beep ila nimekua kiroho sababu ya mahubiri yake juu ya Yesu Kristo...
 
Hata 2,000 sitoi, hawa wachungaji wa uongo wanatuharibia imani.
Huyu mchaga mwizi kabisa
 
Kwenye madhabahu ya Ngome ya Yesu kwa Kuhani Musa ndipo ndipo nilipomjua YESU aliyehai...

Mpaka sasa ninanguvu za Rohoni sababu ya madhabahu ya hiyo...

Mungu azidi kumbariki Kuhani Musa

Bwana YESU atukuzwe
MUNGU si kigeugeu.
Hawezi kupingana na neno lake.
Kama kuna mtu anawatoza pesa kwa njia yoyote ile ili awape vifaa vya kiroho huyo ni wakala wa Ibilisi haijalishi watu wanapona au la.
My father ni mganga nguli mpaka vichaa wanapona kwahiyo uponyaji sio kigezo kusema fulani ana MUNGU.
Muda mwingine muache kuenenda kwa hisia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…