Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

Ukifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi.

Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo pia vina grade zake. Kuna vya matokeo ya papo hapo, na vile vya gradually Yaani mdogo mdogo.

Weka na namba ya tigopesa, Mpesa, CRDB, NMB, Airtelmoney....
 
Ukifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi.

Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo pia vina grade zake. Kuna vya matokeo ya papo hapo, na vile vya gradually Yaani mdogo mdogo.
[emoji2]

Nikiwaambiaga dini ni utapeli mnabisha
 
Ukifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi.

Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo pia vina grade zake. Kuna vya matokeo ya papo hapo, na vile vya gradually Yaani mdogo mdogo.
japo kuna ka utofauti kidogooogo
 
Attachments

  • image_2023-11-17_091805430.png
    image_2023-11-17_091805430.png
    4.7 KB · Views: 2
Kabla ya kumpinga Nabii acha hisia na maneno ya watu acha mazoea na kukariri..
Manabii wa kweli wapo na wa uongo wapo.

Jukumu ni lako kuomba mwalimu Roho Mtakatifu akujulishe na atakujulisha kuwa Nabii ni wa kweli ama sio wa kweli...
Kwanini huyo mungu asituoneshe manabii feki na wasio feki Ili tuwafuate!

Kwanini atuchoshe tumuombe Hadi mtu ulie, huyo mungu wenu mbona katili sana ? Hivi mtoto wako unaweza kutomuonesha sehemu iliyo hatari eti Hadi akuombe Tena Hadi alie Kila siku ? Yani wewe kama mzazi unamuacha mwanao kipenzi aongozane na Genge la wavuta madawa ya kulevya kisa hajakuomba umuepushe na athari za madawa ya kulevya! Hakuna huyo mzazi DUNIANI. Sasa iweje huyo mungu wenu anaejiita kuwa ana upendo wote anashindwa kutokomeza hao manabii feki Ili watoto wake binadamu waishi kwa amani Duniani. Kama yeye mwenye Omnipotent power ( nguvu ya ki-ungu) ameshindwa kuwateketeza binadamu dhaifu ataweza ?

Yeye ndio kawaumba kwanini awashushe duniani kuja kutesa binadamu dhaifu kwanini asiwapeleke sayari ya Mars Ili binadamu waishi kwa amani!

Huyo mungu wenu ni tapeli. Anaruhusu vipi mtu ateketee Kwa kumfuata nabii feki wakati ana nguvu ya kuzui Hilo kutofanyika?

Mungu anaeijua kesho yetu kwanini aruhusu uwepo wa nabii feki aje kuharibu binadamu wasio na hatia.

Mungu wenu ni powerless Hana nguvu yoyote na ni hadithi za kijiweni.

Utterly Fictional
 
Kwanini huyo mungu asituoneshe mamabii feki na wasio feki Ili tuwafuate!

Kwanini atuchoshe tumuombe Hadi mtu ulie, huyo mungu wenu mbona katili sana ? Hivi mtoto wako unaweza kutomuonesha sehemu iliyo hatari eti Hadi akuombe Tena Hadi alie Kila siku ? Huyo mungu wenu ni tapeli. Anaruhusu vipi mtu ateketee Kwa kumfuata nabii feki wakati ana nguvu ya kuzui Hilo kutofanyika?

Mungu anaeijua kesho yetu kwanini aruhusu uwepo wa nabii feki aje kuharibu binadamu wasio na hatia.

Mungu wenu ni powerless Hana nguvu yoyote na ni hadithi za kijiweni.
Mungu sio powerless sema umekosa maarifa kumfahamu.
 
Ukifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi.

Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo pia vina grade zake. Kuna vya matokeo ya papo hapo, na vile vya gradually Yaani mdogo mdogo.
hawa ndio viumbe wamekuja kuharibu sura ya Ulokole, cha kushukuru Mungu hata kwenye umoja wa makanisa ya kipentecost hawamo, wameunda umoja wao wa mitume na manabii, sema kwasababu wana tabia zinazotaka kuelekeana na walokoke ndio maana watu wanawaita walokole, ila hao sio walokole, ni wafuasi wa mitume na manabii.
 
Mungu sio powerless sema umekosa maarifa kumfahamu.
Kama ameshindwa kumuua Shetani nitasemaje ana nguvu ?

Shetani tunaambiwa na hao viongozi wako wa dini amesababisha maasi makubwa sana duniani ila ameshindwa kumuua au kumuondoa duniani!

Kama serikali tu za binadamu ukifanya makosa unaishia jela huyo mungu wenu anaejiita kuwa na maguvu mbona anashindwa kumdhibi Shetani ambae Kila siku anasababisha madhira makubwa Kwa Binadamu?

Mbona hakumuondoa Idd Amin Dada Hadi nyerere mwenyewe aliamua kumuondoa

Kama huyo mungu mwenye maguvu ameshindwa kumuondoa duniani Shetani wakati kamuumba yeye sisi binadamu tunaweza vipi kukabuliana na Shetani ?

Mungu ni powerless na fiction za juma na uledi
 
Mkuu, Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo ni Mungu Mkuu kuliko miungu yote unayoijua wewe, anaweza tatua changamoto yako chini ya sekunde, ila ana kanuni zake: Mwamini Yesu Kristo na uishi maisha matakatifu. Yeye ameweka free-will, halazimishi mtu ila ukifa hatokuwa na huruma na wewe maana ulikataa maarifa na atakukataa wewe usiingie Mbinguni.
 
Back
Top Bottom