Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mbaya zaidi, Njia iendayo upotevuni ni pana...na wengi wanaifuata.Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa Hosea 4 :6. Hiyo service ya 1 on 1 ni utapeli Mtupu. Hakuna nabii au mtume wa uongo asiyelipisha watu kwenye kuombea hata kwenye simu tu atakwambia utume hela ndio akuombee. Kanisa limevami na mbwa mwitu wakali wenye kuvaa ngozi za kondoo.
Ila sishangai sana,
Hata shetani mwenyewe alivyokuwa anatupwa kutoka Mbinguni...Alishawishi theluthi ya malaika,wakaasi na hatimaye kitupwa pamoja naye.