Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

Ukifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi.

Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo pia vina grade zake. Kuna vya matokeo ya papo hapo, na vile vya gradually Yaani mdogo mdogo.
Church Mafias
 
Matapeli wa Injili
 
Mkuu, Imani yangu ni level za juu, siongei kwa hisia Nina nguvu za Rohoni...

Naweza kuona kuwa huyu ni Nabii feki au sio...

Hata wewe tukikutana na wewe nakujua mpaka ukoo wako...

Huna mamlaka ya kumuita mtu Wakala wa Ibilisi wakati hujapima Roho kwa njia ya Roho Mtakatifu
Yaani wewe nilikuwa nikisoma replies zako naona una maana sana ila umejua kuni prove wrong, hadi imebidi ni log in nikwambie how disappointed i am with your way of thinking kwenye mambo ya kiroho. Ujanja mwingi kumbe kipa katoka, shame on you.
 
Ukifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi.

Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo pia vina grade zake. Kuna vya matokeo ya papo hapo, na vile vya gradually Yaani mdogo mdogo.
Tapeli wahedi
 
Wewe sio wa kuamini maana una chuki na ukristo….i japo kuna ukweli
 
Donatila nimekudharau kuanzia sasa.
Sasa una mdharau mtu kisa imani yake? Kila mtu kuna kitu ana kiamini kwa aina yake!
Halafu jf bhna ukiingia kichwa kichwa unaweza fikiri hawasali,hawaendi kwa manabii ,hawaendi kwa mitume,hawatoi michango ya harusi na hawapendi mambo ya dini hahahah!

Humu akili za kuambiwa changanya na zako…kuna chumvi nyingi zinazidishwa kwenye matukio….! Ukisoma coments za humu unaweza jiuliza hawa waumini manabii huwa wanawapata wapi? Na hawa waganga huwa wanapata wateja wapi? Kumbe ni hawa hawa wanaopinga sana ndio waumini wao!

😂😂😂😂😂😂
 
Ukifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi.

Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo pia vina grade zake. Kuna vya matokeo ya papo hapo, na vile vya gradually Yaani mdogo mdogo.
Duuh kazi ipo
 
Ndio ninatumia kwa jina la YESU...

Maana kama huna Imani havikusaidii
Imani kwenye nini?. Hapo kuna utofauti gani na waenda kwa waganga😂😂😁😁😀. Yesu alisema, Ninyi mkikaa ndani yangu na MANENO YANGU yakikaa ndani yenu ombeni lolote nanyi mtatendewa. Yesu nahitaji visaidizi sijui maji ya maiti, mafuta, chumvi, udongo, Unga, keki ha hitaji hayo makorokoro. Neno lake, damu yake vyatosha.
 
Back
Top Bottom