Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenda kwa kuhani Mussa unahisi ni hekima,busara, akili na maarifa kutoka kwa Mungu? Unadhani shetani hawezi kuigiza hivi vitu?????Tena unapewa akili, busara, hekima, maarifa ya mwilini na Rohoni
Toa hela wewe, mbona kuwaangalia Liverpool unalipiaAiseee!
Yaani kumuona akufanyie maombi unalipia?
Ndio laki 2?Toa hela wewe, mbona kuwaangalia Liverpool unalipia
Namzingua huyo kibibi, kazi kumponda Ramsdale.Ndio laki 2?
It's more than scarm
Uyo ni kuhani kweli au muuzaji wa TelegramTuma Hela!
Ukifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi.
Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo pia vina grade zake. Kuna vya matokeo ya papo hapo, na vile vya gradually Yaani mdogo mdogo.
mama D mwaga Sera I/O wa Kuhani.
sahv hauendi tena? mm nilianza nae tangu sinza mwenge na sasa temboniila nimetoka nipo kigoma nina kilinge changu kama kile cha mshana jrNajua hizo lakin2 ni sadaka , kwaajili ya ujenzi wa kanisa ambalo linajengwa..
Mi nimesali kwa Kuhani Musa ila sijawahi ingia ofisini kwake...
Nilikuwa naenda ibadani Tena kwa ku beep ila nimekua kiroho sababu ya mahubiri yake juu ya Yesu Kristo...
mama D ni kweli kabisa kuhani anaombea watu wote bure radioni na kanisani ila ukitaka kumuona ofisini unatoa sadaka ya ujenzi hata vifaa ukitaka vya ziada unachangia sadaka kidogoHakuna pesa yoyote ukitaka kumuona Kuhani Musa
Usitapeliwe Sandali Ali wala usidanganyike
Hakuna fast track wala pesa ya vifaa vya kiroho maana kila ibada vinagawiwa buree labda utake vya ziada
😂😂😂Toa hela wewe, mbona kuwaangalia Liverpool unalipia
MAMAD KUNA AKUHANI WALIONDOLEWA MAJUZI WALIKUWA WANAFANYA UDALALI KUPITIA JINA LA BABA NA HATA WALIOBAKI WALIONYWA KANISANI..SASA ASIMCHAFUE DADY KWA UPUUZI WA WACHACHE KAMA AMEPIGWA AENDE POLISI NA SIO KUMCHAFUA KUHAN WANGUHakuna pesa yoyote ukitaka kumuona Kuhani Musa
Usitapeliwe Sandali Ali wala usidanganyike
Hakuna fast track wala pesa ya vifaa vya kiroho maana kila ibada vinagawiwa buree labda utake vya ziada