Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

Ukifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi.

Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo pia vina grade zake. Kuna vya matokeo ya papo hapo, na vile vya gradually Yaani mdogo mdogo.
Hawa waabudu mashetani watakokota wengi kuzimu. Huyo jamaa ni occultic prophet. Kuna mwingine anaitwa David Richard, yeye kuongea nae kwa zoom meeting ni laki tatu na nusu. Wajinga wengi wanaliwa hasa. Yesu yu karibu malangoni
 
Ukifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi.

Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo pia vina grade zake. Kuna vya matokeo ya papo hapo, na vile vya gradually Yaani mdogo mdogo.
Dunia simama Mimi nishuke ukirudi nipitie tuondoke wote Leo hii swala la kiimani tunanunua kwer 🙏Eeeeh Mungu naomba uyapokee maombi yangu zaid wakati wote nikuombapo
 
Mkuu, Imani yangu ni level za juu, siongei kwa hisia Nina nguvu za Rohoni...

Naweza kuona kuwa huyu ni Nabii feki au sio...

Hata wewe tukikutana na wewe nakujua mpaka ukoo wako...

Huna mamlaka ya kumuita mtu Wakala wa Ibilisi wakati hujapima Roho kwa njia ya Roho Mtakatifu
Kumbe wewe ni chhizi
Sijalipa hata Senti kumi, nilikuwa naenda ibadani, ila sio kila mara, na nasikiliza neno kwa Tv na Redio...

Mi ni Muanglicana na ndio nasali hata sasa...

Nikakuza Imani yangu kwa Yesu ..

Neno la Mungu linasema;
Waaminini Manabii mtafanikiwa, niaminini mimi mtathibitika
Cchiz wewe
 
Dunia simama Mimi nishuke ukirudi nipitie tuondoke wote Leo hii swala la kiimani tunanunua kwer 🙏Eeeeh Mungu naomba uyapokee maombi yangu zaid wakati wote nikuombapo
Screenshot_20231116-194104.jpg

Aliyekataza wasitoze watu pesa ndiye wanasingizia kuwa wanamtangaza.
Kama wangekuwa wanamtangaza yeye wangeacha uzinzi na wasingetoza watu pesa
 
Back
Top Bottom