Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

Oya wanazengo ukikaa ukachunguza kwa umakini utakuja gundua watu sahizi wanageuza UCHAWI kuwa mtaji wanafanya in Positive way[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani ningewakuta wale babu zangu kwamasimulizi niliyoyakuta ningetisha yaani
Nisingekubali nikae na vibuyu bila faida
 
Mkuu, Imani yangu ni level za juu, siongei kwa hisia Nina nguvu za Rohoni...

Naweza kuona kuwa huyu ni Nabii feki au sio...

Hata wewe tukikutana na wewe nakujua mpaka ukoo wako...

Huna mamlaka ya kumuita mtu Wakala wa Ibilisi wakati hujapima Roho kwa njia ya Roho Mtakatifu
Acha uongo wewe [emoji1787]
 
Unakaribia kuchanganyikiwa jiangalie sana dada.
Nipo vyema..

Hizi kejeli tushazizoea kwa wapinga kristo...

Watu wanafikiri Mpinga kristo ni Waislamu au wapagani kumbe ni wale wale wanaosali makanisani..

Wanawatisha watu wasiijue kweli..
 
Tena hao wa makobazi ndio walio na Imani na Yesu, na wanatoa shuhuda hatare[emoji1787][emoji1787]
Shuhuda au kuchanganyikiwa na umasikini? Ushawahi kuona matajiri kwenye hivyo vikao vyenu? Wamejaa mafukara tu huko kwenda kuwachangia sadaka manabii
 
Aiseee hivi hawa wapuuzi tumeshindwa kuwatupia mawe mpaka wafe?
Bilblia imeagiza wapigwe
Uwapige kwa sababu gani? Wakati pesa unapeleka wewe mwenyewe kwa utahira wako? Maana hulazimishwi
 
Kabla ya kumpinga Nabii acha hisia na maneno ya watu acha mazoea na kukariri..
Manabii wa kweli wapo na wa uongo wapo.

Jukumu ni lako kuomba mwalimu Roho Mtakatifu akujulishe na atakujulisha kuwa Nabii ni wa kweli ama sio wa kweli...
mtume wa mwisho wa ukweli kutumwa na Mungu ni Muhammad Sw. Hizi ndo zile zama za mwisho zilizotabiliwa ooh God have mercy upon us😭😭
 
mtume wa mwisho wa ukweli kutumwa na Mungu ni Muhammad Sw. Hizi ndo zile zama za mwisho zilizotabiliwa ooh God have mercy upon us[emoji24][emoji24]
Huna tofauti na kipofu mwombaji...
 
Huna tofauti na kipofu mwombaji...
Mungu awasamehe tu sidhan kam ni nabii kwel angechukua ela au kueka pesa kipaumbele cha kupata huduma. mm sio mtu wa kanisa sana lakn haya mambo kwakwel hpn ndugu zang mnapotea tumuamini yeye mmoja alie hai Mwenyez Mungu aliejuu bs.
 
Back
Top Bottom