Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Ndio maana yake. Kila mtu afanye ambacho kinampa farajaHaya maisha ni kubadilishana majukumu, wengine fungu la 10, wengine viti virefu na maisha yanakwenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana yake. Kila mtu afanye ambacho kinampa farajaHaya maisha ni kubadilishana majukumu, wengine fungu la 10, wengine viti virefu na maisha yanakwenda
Hakuna mtu kashikiliwq bunduki kutoa.Tofauti kubwa sana, hawa manabii ni wanyang'anyi. Fungu la kumi hata ukitoa 50K hawa a shida
NB: Mimi sisali, ila fungu la 10 linaishia baa.
Hicho kitu ndio kimenifanya niache kwenda kwake kuabudu naeUkifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi.
Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo pia vina grade zake. Kuna vya matokeo ya papo hapo, na vile vya gradually Yaani mdogo mdogo.
Atukuzwe kabsaaKwenye madhabahu ya Ngome ya Yesu kwa Kuhani Musa ndipo ndipo nilipomjua YESU aliyehai...
Mpaka sasa nina nguvu za Rohoni sababu ya madhabahu ya hiyo...
Mungu azidi kumbariki Kuhani Musa
Bwana YESU atukuzwe
ilikuwaje mwamba?Umenikumbusha mke wangu aliingia kanisa la nabii mmoja nikiwa masomoni, narudi nakuta mambo yamebadilika. Nikampa yellow kadi ya kwanza, nikaongeza ya pili na nikamwambia jiandae kupanda basi. Akanyooka sasa karudi kanisa lake la Catholic na akili zimemrudi.
Hyo nzuri kabsaaNajua hizo lakin2 ni sadaka , kwaajili ya ujenzi wa kanisa ambalo linajengwa..
Mi nimesali kwa Kuhani Musa ila sijawahi ingia ofisini kwake...
Nilikuwa naenda ibadani Tena kwa ku beep ila nimekua kiroho sababu ya mahubiri yake juu ya Yesu Kristo...
AhahahadaHata maneno ya kigeni ndiyo yanatumika kuwapiga wasio na uelewa,
Kujiita Kuhani zama hizi ni kufuru kubwaJe Kwenye agano jipya tuna makuhani? Na kama wapo nafasi Yao ni ipi
Kuhani wa nyokoUjinga kumuona Kuhani?
Hapo unapimaje kujuwa roho za ibilisiMkuu, Imani yangu ni level za juu, siongei kwa hisia Nina nguvu za Rohoni...
Naweza kuona kuwa huyu ni Nabii feki au sio...
Hata wewe tukikutana na wewe nakujua mpaka ukoo wako...
Huna mamlaka ya kumuita mtu Wakala wa Ibilisi wakati hujapima Roho kwa njia ya Roho Mtakatifu
Na wanawake ndio mitaji ya hawa wachungaji njaa na mnatombwa kweli na hao wachungaji yaani nyie ni misukuleNajua hizo lakin2 ni sadaka , kwaajili ya ujenzi wa kanisa ambalo linajengwa..
Mi nimesali kwa Kuhani Musa ila sijawahi ingia ofisini kwake...
Nilikuwa naenda ibadani Tena kwa ku beep ila nimekua kiroho sababu ya mahubiri yake juu ya Yesu Kristo...
Kwani yesu alitoa mafuta au maji kwanini mnakua wapumbavu kiasi kumamayo zenu nyieNinachojua kuwa ni sadaka...
Alafu haviuzwi Wala hulazikishwi sababu Kuna ambayo yanatolewa free ndani ya ibada
Eti kuna maji ya level tofauti.Hicho kitu ndio kimenifanya niache kwenda kwake kuabudu nae
Maji ,chumvi na mafuta Ni vya ghali mno
AhahahadaKuhani wa nyoko
Hawa wamekua misukule hawajitambuiAhahahada
Eti Kuhani/mpatanishi.
Hawa wajinga wanaliwa mpaka Tigo na makuhani
Ni mateka.Hawa wamekua misukule hawajitambui
Mkuu umeandika kwa ufupi lakini kwa ufasha sana. Huyu naona ameshusha bei. Ukitaka kumuona nabii Suguye wa Kivule gharama ni Tsh 300,000/=. Hawa manabii wanatupiga sana aisee!Ukifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi.
Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo pia vina grade zake. Kuna vya matokeo ya papo hapo, na vile vya gradually Yaani mdogo mdogo.
Sure. Watu, hasa hawa wenye kipato cha chini, wana akili za kimaskini sana aisee!Ahahahada
Eti Kuhani/mpatanishi.
Hawa wajinga wanaliwa mpaka Tigo na makuhani
Aiseee hivi hawa wapuuzi tumeshindwa kuwatupia mawe mpaka wafe?Mkuu umeandika kwa ufupi lakini kwa ufasha sana. Huyu naona ameshusha bei. Ukitaka kumuona nabii Suguye wa Kivule gharama ni Tsh 300,000/=. Hawa manabii wanatupiga sana aisee!