econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Ni vyema kila mtu akabaki na Imani yake...
Wala kwa Kuhani sio kwa ajili ya kupona na Miujiza pekee..
Hata neno la Mungu linahubiriwa...
Neno la Mungu litahubiriwa hata kwa hila.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni vyema kila mtu akabaki na Imani yake...
Wala kwa Kuhani sio kwa ajili ya kupona na Miujiza pekee..
Hata neno la Mungu linahubiriwa...
Mkuu, Imani yangu ni level za juu, siongei kwa hisia Nina nguvu za Rohoni...
Naweza kuona kuwa huyu ni Nabii feki au sio...
Hata wewe tukikutana na wewe nakujua mpaka ukoo wako...
Huna mamlaka ya kumuita mtu Wakala wa Ibilisi wakati hujapima Roho kwa njia ya Roho Mtakatifu
Kabla ya kumpinga Nabii acha hisia na maneno ya watu acha mazoea na kukariri..
Manabii wa kweli wapo na wa uongo wapo.
Jukumu ni lako kuomba mwalimu Roho Mtakatifu akujulishe na atakujulisha kuwa Nabii ni wa kweli ama sio wa kweli...
Hivyo vifaa vya kiroho kama huombi kwa jina la YESU havitakusaidia...
Haviwezi kuwa hirizi maana unaomba kwa jina la YESU..
Kwenye madhabahu ya Ngome ya Yesu kwa Kuhani Musa ndipo ndipo nilipomjua YESU aliyehai...
Mpaka sasa nina nguvu za Rohoni sababu ya madhabahu ya hiyo...
Mungu azidi kumbariki Kuhani Musa
Bwana YESU atukuzwe
Nimepitia comments lakin sioni mantiki ya mtu ambae hawezi kutoa hela kumuona kuhani au mtumishi yoyote kumsema vibaya yule ambae yeye binafsi anaweza. halafu hiyo laki2 unayoongelea ndogo sana, usicheze kabisa na imani ya mtu.
NDIO unajibiwa kabisa yaniNasubiri kwa hamu ujibu swali langu. Je kwa uzoefu wako, kama ukimwomba Mungu kwa imani katika Jina la Yesu bila kutumia hivyo "vifaa vya kiroho", je utajibiwa maombi yako?
Yupo uchi libolo nje nje....Laki mbili 🙄🙄 yupo uchi au ??
Freely "ye have" uhuni ulianza kitamboMUNGU si kigeugeu.
Hawezi kupingana na neno lake.
Kama kuna mtu anawatoza pesa kwa njia yoyote ile ili awape vifaa vya kiroho huyo ni wakala wa Ibilisi haijalishi watu wanapona au la.
My father ni mganga nguli mpaka vichaa wanapona kwahiyo uponyaji sio kigezo kusema fulani ana MUNGU.
Muda mwingine muache kuenenda kwa hisia .
View attachment 2815751
Hamna madhabahu isiyotaka sadaka mkuu, hata ya kiganga nayo inademand sadaka, ni uamuzi tu. Ila pia kwa siku za sikuhizi kuendesha kanisa nalo gharama, kuna mdau niliona ameongelea kanisa hilo lina ujenzi, kanisa halikosi wafanyakazi wanaolipwa, gharama kama za umeme etc. Pia nawaza mfano kama ibada inahudhuriwa na maelfu ya waumini, mlango wa ofisi ukiwa wazi tu itakuwa fujo, mwenye shida nzito na imani ataeka hiyo 200k ubaoni asikilizwe fasta..Imani kwenye laki mbili?. Yesu aliponya watu Bure, matapeli wa siku hizi hata hawaponyi ila wanataka pesa kwanza.
Na nyie wafanya hayo bure mjitathimini kama mnacho .mlichopewa
Watu wanakuja kwenu watoa bure hawapati ufumbuzi
Kelele tu ohhh tumepewa bure tunatoa bure kiko wapi hicho mnatoa bure mtu anakuja kwenu haponi ,shida zake hazitoki miaka
Akina Petro walisema kwa yule kiwete kuwa tutazame sisi tuna kitu wakijiamini wana kitu wakasema tulichonacho tunakupa bure kwa Jina la Yesu inuka na kiwete akainuka Sababu akina Petro walijua wana kitu na waweza toa bure bila shida na mtu changamoto yake ikaisha kufumba na kufumbua
Mnacho hicho cha kutoa mtu akija kwenu na mashida kibao kama petro alitamka ? au na nyie matapeli tu hamna hata cha kutoa mnatafuta waumini tu? Matapeli nyie
Na nyie kama hamna kitu cha kutoa kama Petro aliyetamka tulichonacho tunakupa na nyie ni matapeli tu wanaotumia injili kutapeli watu hamna tofauti yeyote
Hamna madhabahu isiyotaka sadaka mkuu, hata ya kiganga nayo inademand sadaka, ni uamuzi tu. Ila pia kwa siku za sikuhizi kuendesha kanisa nalo gharama, kuna mdau niliona ameongelea kanisa hilo lina ujenzi, kanisa halikosi wafanyakazi wanaolipwa, gharama kama za umeme etc. Pia nawaza mfano kama ibada inahudhuriwa na maelfu ya waumini, mlango wa ofisi ukiwa wazi tu itakuwa fujo, mwenye shida nzito na imani ataeka hiyo 200k ubaoni asikilizwe fasta..
Huko kwenye biblia nabii gani alikua kaanzisha kanisa nakuliendesha kw michangoHamna madhabahu isiyotaka sadaka mkuu, hata ya kiganga nayo inademand sadaka, ni uamuzi tu. Ila pia kwa siku za sikuhizi kuendesha kanisa nalo gharama, kuna mdau niliona ameongelea kanisa hilo lina ujenzi, kanisa halikosi wafanyakazi wanaolipwa, gharama kama za umeme etc. Pia nawaza mfano kama ibada inahudhuriwa na maelfu ya waumini, mlango wa ofisi ukiwa wazi tu itakuwa fujo, mwenye shida nzito na imani ataeka hiyo 200k ubaoni asikilizwe fasta..
Umenikumbusha mke wangu aliingia kanisa la nabii mmoja nikiwa masomoni, narudi nakuta mambo yamebadilika. Nikampa yellow kadi ya kwanza, nikaongeza ya pili na nikamwambia jiandae kupanda basi. Akanyooka sasa karudi kanisa lake la Catholic na akili zimemrudi.Ajabu, mbona anapingana na wachawi na waganga?
Tena anafichua Siri za wachawi na waganga, na anawataja...
Wengine ni Watoto wadogo...
Hiyo ni pesa ya kilinge mkuu, anakwambia weka ya madhabau.Unaelewa maana ya sadaka?. Biblia ipo wazi sadaka ni Siri, hata mkono mwingine usijue. Sasa unapoweka kiwango Cha pesa kwaajili ya maombi , hivyo sio sadaka ni mchango au tozo.
Hata maneno ya kigeni ndiyo yanatumika kuwapiga wasio na uelewa,FAST TRACK
Acha mazuzu wapigwe tuUkifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi.
Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo pia vina grade zake. Kuna vya matokeo ya papo hapo, na vile vya gradually Yaani mdogo mdogo.
Acha waendelee kutupa mrejesho , 😂😂Watu wa Dar mna mambo