Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

Tofauti kubwa sana, hawa manabii ni wanyang'anyi. Fungu la kumi hata ukitoa 50K hawa a shida
NB: Mimi sisali, ila fungu la 10 linaishia baa.
Hakuna mtu kashikiliwq bunduki kutoa.
 
Ukifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi.

Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo pia vina grade zake. Kuna vya matokeo ya papo hapo, na vile vya gradually Yaani mdogo mdogo.
Hicho kitu ndio kimenifanya niache kwenda kwake kuabudu nae

Maji ,chumvi na mafuta Ni vya ghali mno
 
Kwenye madhabahu ya Ngome ya Yesu kwa Kuhani Musa ndipo ndipo nilipomjua YESU aliyehai...

Mpaka sasa nina nguvu za Rohoni sababu ya madhabahu ya hiyo...

Mungu azidi kumbariki Kuhani Musa

Bwana YESU atukuzwe
Atukuzwe kabsaa
 
Umenikumbusha mke wangu aliingia kanisa la nabii mmoja nikiwa masomoni, narudi nakuta mambo yamebadilika. Nikampa yellow kadi ya kwanza, nikaongeza ya pili na nikamwambia jiandae kupanda basi. Akanyooka sasa karudi kanisa lake la Catholic na akili zimemrudi.
ilikuwaje mwamba?
ukute aliambiwa wewe unafanya watoto wako kuwa misukule.
😅😅😅😅
 
Najua hizo lakin2 ni sadaka , kwaajili ya ujenzi wa kanisa ambalo linajengwa..

Mi nimesali kwa Kuhani Musa ila sijawahi ingia ofisini kwake...

Nilikuwa naenda ibadani Tena kwa ku beep ila nimekua kiroho sababu ya mahubiri yake juu ya Yesu Kristo...
Hyo nzuri kabsaa
 
Mkuu, Imani yangu ni level za juu, siongei kwa hisia Nina nguvu za Rohoni...

Naweza kuona kuwa huyu ni Nabii feki au sio...

Hata wewe tukikutana na wewe nakujua mpaka ukoo wako...

Huna mamlaka ya kumuita mtu Wakala wa Ibilisi wakati hujapima Roho kwa njia ya Roho Mtakatifu
Hapo unapimaje kujuwa roho za ibilisi
 
Najua hizo lakin2 ni sadaka , kwaajili ya ujenzi wa kanisa ambalo linajengwa..

Mi nimesali kwa Kuhani Musa ila sijawahi ingia ofisini kwake...

Nilikuwa naenda ibadani Tena kwa ku beep ila nimekua kiroho sababu ya mahubiri yake juu ya Yesu Kristo...
Na wanawake ndio mitaji ya hawa wachungaji njaa na mnatombwa kweli na hao wachungaji yaani nyie ni misukule
 
Ukifika pale Temboni unataka kumuona Kuhani Mussa Richard, kuna dau kama ilivyo kwa manabii wengine ila jamaa kaongeza kitu kinaitwa FAST TRACK. Hiyo ukitoa haina foleni, ile unamaliza kuhesabu pesa tu huyu hapa anakufanyia maombi.

Ila msisahau kubeba pesa za kununulia vifaa vya kiroho ambayo pia vina grade zake. Kuna vya matokeo ya papo hapo, na vile vya gradually Yaani mdogo mdogo.
Mkuu umeandika kwa ufupi lakini kwa ufasha sana. Huyu naona ameshusha bei. Ukitaka kumuona nabii Suguye wa Kivule gharama ni Tsh 300,000/=. Hawa manabii wanatupiga sana aisee!
 
Mkuu umeandika kwa ufupi lakini kwa ufasha sana. Huyu naona ameshusha bei. Ukitaka kumuona nabii Suguye wa Kivule gharama ni Tsh 300,000/=. Hawa manabii wanatupiga sana aisee!
Aiseee hivi hawa wapuuzi tumeshindwa kuwatupia mawe mpaka wafe?
Bilblia imeagiza wapigwe
 
Back
Top Bottom