Huyo zaidi ya kichina ana lugha nyingine anayojua kuzungumza ?...Huyu mtawala wa China huwa ni kama roboti fulani, sijawahi kumuona akizungumza na viongozi wenzake au akifanya mazungumzo na waandishi wa habari.
Huko Kremlin, Moscow ameonekana kama anazungumza na Putin japo camera bado imeficha kiupande na sauti yake kufigishwa
View attachment 3329114
Huyo zaidi ya kichina ana lugha nyingine anayojua kuzungumza ?...
China ataanza lini kufadhili miradi ya UN ambayo Marekani kajitoa?Xi na Putin wanajua lugha zaidi ya za mataifa yao mfano ni Kiingereza.
Ila mara zote hizo lugha hawazishobokei
Xi huwa anaongea Kichina na Putin huongea Kirusi then wanawatumia translators.
Hiko ndicho kinaonekana kwenye hiyo video
Umenikumbusha jiwe alivyokuwa haongei Kingereza anaonekana Mzalendo wa kukipenda Kiswahili. Kingereza cha Xi ni kama cha Shilole au Doto magari.Xi na Putin wanajua lugha zaidi ya za mataifa yao mfano ni Kiingereza.
Ila mara zote hizo lugha hawazishobokei
Xi huwa anaongea Kichina na Putin huongea Kirusi then wanawatumia translators.
Hiko ndicho kinaonekana kwenye hiyo video
Utashambuliwa! Kwamba wew kingeleza kimekusaidia nn?Umenikumbusha jiwe alivyokuwa haongei Kingereza anaonekana Mzalendo wa kukipenda Kiswahili. Kingereza cha Xi ni kama cha Shilole au Doto magari.
Inasemekana anajua cha kuombea maji kwa sababu aliwahi kuishi Marekani kwa muda akiwa katika trip ya utafiti wa Kilimo, binti yake amewahi kusoma Havard pia labda atakuwa anampiga brush dingi yake.Huyo zaidi ya kichina ana lugha nyingine anayojua kuzungumza ?...
Watu wanakufa kwa njaa waanze kufadhili UN tena 😅😅China ataanza lini kufadhili miradi ya UN ambayo Marekani kajitoa?
Ameishi marekani miaka ya 80s japo sio kwa muda mrefu ila kiingereza anafahamu japo kuongea ni nadra sana kukutwa.Huyo zaidi ya kichina ana lugha nyingine anayojua kuzungumza ?...
Unapenda vya bure sana mtoto wa kiumeChina ataanza lini kufadhili miradi ya UN ambayo Marekani kajitoa?
Hii ni hatari ukisikia waafrika tumeoza akili ni aina ya hawa watu wapo wengi hata humu wamejaa.Unapenda vya bure sana mtoto wa kiume
Ni juzi kati tu hapa alikuwa ulaya au ulaya kwako ni India dogo jifunze kufuatilia habari by the way Xi sio mtu wa kusafiri safiri.Xi kabla hajaota mapembe alikuwa anaenda ulaya
Sahivi hata kukuanyaga anaogopa
Xi kauzu sana, wenzake wakiongea yeye huwa anatingisha kichwa tu na kufinya finya macho.Tumuulize yeye mwenyewe oya Xi Jinping mashabiki zako wanalalamika kwa nini huongei sana ?