Kumuona Xi Jinping akizungumza tofauti na kuhutubia ni sawa na jogoo kutaga

Kumuona Xi Jinping akizungumza tofauti na kuhutubia ni sawa na jogoo kutaga

Xi huwa ana ongea muulize Tradeu alipewa makavu na Xi ilikuwa Bali kwenye G20
Umesema vyema

Pia mwaka 2023 alikuwa Marekani alipoalikwa na Biden. Baadaye akakutana na CEOs wa makampuni makubwa ya Marekani

Na mwaka huu CEOs wa makampuni makubwa ya Marekani na Ulaya walienda China alikuwa na mazungumzo nao. Akawapa kisomo wakarudi kwao

Kilichovutia zaidi mwaka 2023 akiwa Marekani CEOs wa U.S largest companies kwa heshima mpaka walimpa standing ovation.

American CEOs admiring the most successful CEO of this century Xi Jinping
​
 
Ana dharau sana huyu,Yani kasepa kamuachia mkalimani amalizane na putin 😁😁😁
Itakuwa aliona Putin anamchelewesha tu kwa alivyokuwa anajikomba, hapo anawaza dogo najua unahitaji nikupe support dhidi ya mabeberu.
 
Xi anaongea na watu wengi sana. Ana trips nyingi sana za kutembelea China na kukutanana na kuzungumza na wananchi wake tena hutembelea maeneo ya ndani

Kuhusu kuhutubia mbona mara ngingi tu huokana anahutubia iwe ni kwenye vikao vya CPPCC national committee au akilihutubia taifa
​
Kuhutubia ndio huwa namuona, lakini kwenye Congress yao na mwaka mpya wa kichina zaidi.
 
Umenikumbusha jiwe alivyokuwa haongei Kingereza anaonekana Mzalendo wa kukipenda Kiswahili. Kingereza cha Xi ni kama cha Shilole au Doto magari.
Hivi Kwa mfano ni kweli hajui kiingereza, wewe inakusaidia nini? Au unaichumuliaje Hali hyo?? Acha ujinga, wenzako uchina kujua kiingereza siyo kipaumbele sana, lakini kimaendeleo wako juu, wewe unayejua kimatumbi uko wapi kimaendeleo!!! Acha ujinga.
 
Kibabu mtoto punguza makasiriko
 
Ana dharau sana huyu,Yani kasepa kamuachia mkalimani amalizane na putin 😁😁😁
Huyu mzee ndio alivyo kama wachina wengi tenu huyu ni mstaarabu sana tofauti na wachina wengine wana ongea kwa kufoka foka na always wao ni kama wana muelekeza mtu
 
Akifanya mazungumzo na waandishi wa habari
Ikiwa unataka kujua msimamo wa China kwenye masuala ya kimataifa hilo ni jukumu la Lin Jian na Wang Yi ndio ambao hukutana na waandishi wa habari na kusikiliza maswali yao na kuwajibu.

Ukitaka masuala ya ndani ya China kila wizara na dept ya China ina msemaji wake

China haiendeshwi kiholela kama Marekani kila kitu anazungumza dictator Trump
​
 
Ikiwa unataka kujua msimamo wa China kwenye masuala ya kimataifa hilo ni jukumu la Lin Jian na Wang Yi ndio ambao hukutana na waandishi wa habari na kusikiliza maswali yao na kuwajibu.

Ukitaka masuala ya ndani ya China kila wizara na dept ya China ina msemaji wake
China haiendeshwi kiholela kama Marekani kila kitu anazungumza Trump
​
Wakomunisti wamekuhonga mke wa Kichina?
 
Itakuwa aliona Putin anamchelewesha tu kwa alivyokuwa anajikomba, hapo anawaza dogo najua unahitaji nikupe support dhidi ya mabeberu.
Daah ila wewe jamaa 😀 si bora hata Xi Deng ndie alimuita kabisa Gorbachev mpumbavu haah
 
Akifanya mazungumzo na waandishi wa habari
Iliwahi tokea wakati wa utawala wa Obama kuna swali aliulizwa akaona huyu mwandishi kibwengo akamdharau na kupuuzia swali huyu jamaa kuna namna ana dharau fulani au sijui aibu au ukimya sifahamu
 
Katika job description yake sidhani kama kuzungumza sana ni priority so long as kuna communication haijalishi hata mtu akiwa bubu....

Kenya arguably Rais aliyewezesha mambo mengi Kibaki alikuwa mkinya na ukiongea nae unaweza kusema hili zezeta na halijui kitu, lakini kumbe anasikiliza na kuchambua mambo; tuna masikio mawili for a reason
 
Back
Top Bottom