Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
- Thread starter
- #41
Trump sio muongeaji mzuri ila ni mropokaji zaidi anayeweza kubwatuka chochote bila kushirikisha ubongo wake ili mradi anajua kitaamsha hisia za watu wengi. Trump alikuwa host wa kipindi cha TV cha apprentice ambacho ni reality tv show na ndio ujuzi wa kucheza na hadhira yenye wajinga wengi uliomsaidia alipoingia kwenye siasa.Jambo pekee na uhakika nalo leo hii ukiitishwa uchaguzi wa kidemokrasia kati ya Xi na Trump, Trump anashinda asubuhi mapema kabisa ki kampeni na kikura sio kwa sababu Trump ni kiongozi mzuri na Xi kiongozi mbaya ila kwa kuwa Trump ni muongeaji mzuri na Xi sio