Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Kina faida gani kwakwe hata akijua kama cha kwako je kitapaisha uchumi?Umenikumbusha jiwe alivyokuwa haongei Kingereza anaonekana Mzalendo wa kukipenda Kiswahili. Kingereza cha Xi ni kama cha Shilole au Doto magari.
Haaah ila jambo la ajabu moja ya viongozi wa China wenye reports na hotuba ndefu basi ni Xi anaweza toa hotuba au reports ya saa mbili.Xi kauzu sana, wenzake wakiongea yeye huwa anatingisha kichwa tu na kufinya finya macho.
Ulicho uliza ndo akili yako ilivyo.Kuna faida gani ukifa mke wako asiolewe??
Dah! Unavyoongea utafikiri unaishi naye room moja!Ni juzi kati tu hapa alikuwa ulaya au ulaya kwako ni India dogo jifunze kufuatilia habari by the way Xi sio mtu wa kusafiri safiri.
Kipindi cha Covid19 Xi alikaa karibu miaka miwili bila kusafiri
Haikuwa mbele ya camera japo walikuwa recorded sijui ilitumika mbinu gani na hata ukimtazama namna anavyo ongea ni kama ana kwepesha kwepesha macho sijui ana aibu hilo anajua mwenyeweMbele ya Camera?
Ujinga wako usiwarithishe wanao japo na mashaka kama unao kwa huu ujinga.Dah! Unavyoongea utafikiri unaishi naye room moja!
Miaka ya nyuma kila mara alikuwa anaendaNi juzi kati tu hapa alikuwa ulaya au ulaya kwako ni India dogo jifunze kufuatilia habari by the way Xi sio mtu wa kusafiri safiri.
Kipindi cha Covid19 Xi alikaa karibu miaka miwili bila kusafiri
Unaweza ukashangazwaUmenikumbusha jiwe alivyokuwa haongei Kingereza anaonekana Mzalendo wa kukipenda Kiswahili. Kingereza cha Xi ni kama cha Shilole au Doto magari.
Sio kweli umeanza kumfahamu Xi toka lini ?Miaka ya nyuma kila mara alikuwa anaenda
Alikuwa ana socilize na wazungu vizuri tu
Kitambo sana mzee alikuwa akicheki hard news kutoka cnn bbc aljazeerq nikqvutiwa namm kufuatiliaSio kweli umeanza kumfahamu Xi toka lini ?
Kumbe Xi Ji Ping ni "tolu"/tall kuliko Putin?Xi ni long person!Huyu mtawala wa China huwa ni kama roboti fulani, sijawahi kumuona akizungumza na viongozi wenzake au akifanya mazungumzo na waandishi wa habari.
Huko Kremlin, Moscow ameonekana kama anazungumza na Putin japo camera bado imeficha kiupande na sauti yake kufigishwa
View attachment 3329114
Jambo pekee na uhakika nalo leo hii ukiitishwa uchaguzi wa kidemokrasia kati ya Xi na Trump, Trump anashinda asubuhi mapema kabisa ki kampeni na kikura sio kwa sababu Trump ni kiongozi mzuri na Xi kiongozi mbaya ila kwa kuwa Trump ni muongeaji mzuri na Xi sioHuyu mtawala wa China huwa ni kama roboti fulani, sijawahi kumuona akizungumza na viongozi wenzake au akifanya mazungumzo na waandishi wa habari.
Huko Kremlin, Moscow ameonekana kama anazungumza na Putin japo camera bado imeficha kiupande na sauti yake kufigishwa
View attachment 3329114
Kwa hiyo wamekutana?Sijawahi kuwaamini watu wafupi.Nunca!Xi sio mrefu sana ila Putin ndio mfupi kama Steve Nyerere.
Muda sio mrefu katoka France hata juzi kati hapa alikuwa VietnamKitambo sana mzee alikuwa akicheki hard news kutoka cnn bbc aljazeerq nikqvutiwa namm kufuatilia
Niliwahi kumuona yupo uingereza anatembelea manchester anapiga picha na wachezaji
Muda sio mrefu katoka France hata juzi kati hapa alikuwa Vietnam
Ameoa kweli huyu faza anapigo za kipadri au monkMuda sio mrefu katoka France hata juzi kati hapa alikuwa Vietnam