Trump sio muongeaji mzuri ila ni mropokaji zaidi anayeweza kubwatuka chochote bila kushirikisha ubongo wake ili mradi anajua kitaamsha hisia za watu wengi. Trump alikuwa host wa kipindi cha TV cha apprentice ambacho ni reality tv show na ndio ujuzi wa kucheza na hadhira yenye wajinga wengi uliomsaidia alipoingia kwenye siasa.Jambo pekee na uhakika nalo leo hii ukiitishwa uchaguzi wa kidemokrasia kati ya Xi na Trump, Trump anashinda asubuhi mapema kabisa ki kampeni na kikura sio kwa sababu Trump ni kiongozi mzuri na Xi kiongozi mbaya ila kwa kuwa Trump ni muongeaji mzuri na Xi sio
Ana mke wake alikuwa star maarufu sana China kwenye uimbaji kipindi hio Xi wala hata hafahamiki kwa ukubwa huu alikuwa ranks za chini kabisa huko ChinaAmeoa kweli huyu faza anapigo za kipadri au monk
Naweza kubaliana na wewe katika hili mifano ipo mingiWatu kama hao kwenye vikao vya ndani wanatoa na makwenzi kabisa.
Kwanini usiulize Tanzania nchi yako badala yake unaulizia nchi nyingineChina ataanza lini kufadhili miradi ya UN ambayo Marekani kajitoa?
Huwa ana ongea japo sio sana type ya kina Trump na Magufuli maana jamaa ana ziara nyingi za ndani kuliko hata za nje ukiwa unafuatilia CCTV na hata kichina cha kuokoteza utaona ana zungumza na watu tena ana jumuika nao kama tu viongozi wenzake wa kichinaHata huko China ni nadra kumuona Xi anaongea na watu tofauti na kuhutubia tu
Changamoto sana Watanzania akili zilivyoKwanini usiulize Tanzania nchi yako badala yake unaulizia nchi nyingine
Punguza makasiriko dogo. Nimerejea tu maelezo yako kuhusu daily routines za Xi. Nimeshangaa unavyomjua in and out. Matusi ya nini sasa?Ujinga wako usiwarithishe wanao japo na mashaka kama unao kwa huu ujinga.
Kwa sababu wewe hufuatilii mambo unafikiri kila mtu mjinga kama wewe foolish
Unamkuta yupo bize kuhesabu mabasi ya kampuni fulani na kulinganisha na nyingine huku akiponda sana. Marekani na China zishajipata. Tuzungumze kuhusu hii yetuChangamoto sana Watanzania akili zilivyo
Kiingeleza hakiwezi kumsaidia mtu yeyeto bali kiingereza kinaweza.Utashambuliwa! Kwamba wew kingeleza kimekusaidia nn?
China ataanza lini kufadhili miradi ya UN ambayo Marekani kajitoa?
Umenikumbusha jiwe alivyokuwa haongei Kingereza anaonekana Mzalendo wa kukipenda Kiswahili. Kingereza cha Xi ni kama cha Shilole au Doto magari.
Hata huko China ni nadra kumuona Xi anaongea na watu tofauti na kuhutubia tu
Xi kabla hajaota mapembe alikuwa anaenda ulaya
Sahivi hata kukuanyaga anaogopa
Tumuulize yeye mwenyewe oya Xi Jinping mashabiki zako wanalalamika kwa nini huongei sana ?
Xi kauzu sana, wenzake wakiongea yeye huwa anatingisha kichwa tu na kufinya finya macho.
Akili za omba omba.Changamoto sana Watanzania akili zilivyo