Kumvisha Rais Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa

Kumvisha Rais Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Walioandaa ziara hawakujua kuwa Rais atalazimika kuvaa lifejacket wakaandaa size yake? Convoy ya logistic bado wapo kwenye ziara au ndio kuhujumiana kwenyewe. Aliyemvisha hakumtendea haki kabisa.

C77AD5E6-A605-4BC3-B1DE-88FDC96BE163.jpeg
 
Mleta mada umechanganya mambo,Kwani huyo pichani ni Rais au mama Samia Suluhu hassan. Mleta mada ingependeza zaidi heading yako ingesomeka

"Kumvisha mama samia suluhu hassan Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa"​

 
Back
Top Bottom