Kumvisha Rais Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa

Kumvisha Rais Life Jacket inayobana kiasi hiki sio sawa

Dah!

Kwanini ajajiongeza au wamemu edit?😂

Eti kijast bikozi 😄
 
Wamemkosea sana Mheshimiwa Rais anatakiwa aonekane nadhifu ila sio kwa hiyo life jacket
Walioandaa ziara hawakujua kuwa Rais atalazimika kuvaa lifejacket wakaandaa size yake? Convoy ya logistic bado wapo kwenye ziara au ndio kuhujumiana kwenyewe. Aliyemvisha hakumtendea haki kabisa.

Walioandaa ziara hawakujua kuwa Rais atalazimika kuvaa lifejacket wakaandaa size yake? Convoy ya logistic bado wapo kwenye ziara au ndio kuhujumiana kwenyewe. Aliyemvisha hakumtendea haki kabisa.

Big mistake
 
Hangaya wana mchoreshaa sanaaaaa,ata shtuka 2025[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimeamini sasa kuwa Maza anadharauliwa sana na waliomzunguka.

Hapo akitumbukia kwenye maji hiyo life jacket inamvuka fasta
Chifu hangaya hawezi kuzamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom